wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,402
Humu hakunaga msaada kuna mabazazi, walaghai,wapiga pumbu, wababaishaji
hatari sn.
Humu hakunaga msaada kuna mabazazi, walaghai,wapiga pumbu, wababaishaji
Humu hakunaga msaada kuna mabazazi, walaghai,wapiga pumbu, wababaishaji
Humu hakunaga msaada kuna mabazazi, walaghai,wapiga pumbu, wababaishaji
Mimi zamani nilikuwa km ww ila saa hizi sio aibu wala haya.... Ningekuwa sina ajira ningejitahid nipate msingi niuze hata mandaziHabarini wanajamvi, Mimi ni msichana natafuta kazi ambayo ni halali itakayoniingizia kipato, Nina degree ya procurement and logistics management.. Kwa mwenye kuweza kunisaidia au anaitaji maelezo zaidi naomba anicheck pm.
Natanguliza Shukrani.
Tangu umeanza kusoma hii koment hujaona msaada?!Humu hakunaga msaada kuna mabazazi, walaghai,wapiga pumbu, wababaishaji
Hilo halipo mkuuJiandae kuliwa ukiwa mvivu wa kufikiria kwa mwanamke jiandae kuwa mtumwa wa ngono. Utabiri wangu usipoombwa pesa watakuomba papunchi.
Jiongeleshe hapa! Chezea shida hainaga bounsa..! Kajifikirishe upate cha kufanya na kazi ya kutoa ngono kamwe hautakuja kufanikiwa laana tupu..!Hilo halipo mkuu
Una maneno makali lakini ni ukweli mtupuJiongeleshe hapa! Chezea shida hainaga bounsa..! Kajifikirishe upate cha kufanya na kazi ya kutoa ngono kamwe hautakuja kufanikiwa laana tupu..!

Omba Mungu na jitahidi kufanya toba sometime ufahamu na nyota zetu zinafungiwa na madhambi. Unaweza kudhani umeumbiwa mateso ujue makusudi ya Mungu bado ni yaleyale na Mungu kamwe hatuwazii mabaya! Nikutie moyo kwanza hondoa aibu fanya kazi yeyote sasa hivi unajiona kuwa huwezi kufanya kazi fulani sababu umesoma ila ujue sometime hiyo ndiyo njia yako.Noted
Asante sana kwa ushauri mzuri, na kunitia moyo Mkuu. Ubarikiwe sanaOmba Mungu na jitahidi kufanya toba sometime ufahamu na nyota zetu zinafungiwa na madhambi. Unaweza kudhani umeumbiwa mateso ujue makusudi ya Mungu bado ni yaleyale na Mungu kamwe hatuwazii mabaya! Nikutie moyo kwanza hondoa aibu fanya kazi yeyote sasa hivi unajiona kuwa huwezi kufanya kazi fulani sababu umesoma ila ujue sometime hiyo ndiyo njia yako.
Pole sana jitahidi yatakwisha tu hayo..!
very constructive ideaOmba Mungu na jitahidi kufanya toba sometime ufahamu na nyota zetu zinafungiwa na madhambi. Unaweza kudhani umeumbiwa mateso ujue makusudi ya Mungu bado ni yaleyale na Mungu kamwe hatuwazii mabaya! Nikutie moyo kwanza hondoa aibu fanya kazi yeyote sasa hivi unajiona kuwa huwezi kufanya kazi fulani sababu umesoma ila ujue sometime hiyo ndiyo njia yako.
Pole sana jitahidi yatakwisha tu hayo..!
mi nina mawazo hapa ya biashara zaid ya 3 lkn sina laki tatu za kuanzia mwaka wa 2 sasaKabla hujafikiria mtaji fikiria unataka kufanya nini. Wengi huwa tunawaza mtaji tuuu wakati hatujui tufanye nini. Ungekuwa mfuatiliaji wakati ule wa kipindi cha mwanamke wa nguvu ungejifunza jinsi ya kubeba mimba ya kitu cha kufanya. Ni somo pana, unaweza kutafuta masomo ya ujasiliamali na ukaanza kutamani kufanya kitu... isiweke akili ya mawazo yako kwenye kuajiriwa tu...
Bomberdier ndio kipaumbele!Jamani ajira MPYA lini wapendwa hivi magufuli halioni hili sasa mwaka Wa pili huu
Hiyo ni kwa kwa miss kadada au yeyote mkuu,?Kama upo Dar itakuwa vyema kuna shughuli ambayo siyo ulosomea lakini kwa sabbu wewe ni somi nina uhakika hutaishindwa ni kama stepping stone.
Habarini wanajamvi, Mimi ni msichana natafuta kazi ambayo ni halali itakayoniingizia kipato, Nina degree ya procurement and logistics management.. Kwa mwenye kuweza kunisaidia au anaitaji maelezo zaidi naomba anicheck pm.
Natanguliza Shukrani.
Kazi za ndani unaweza kufanya?Habarini wanajamvi, Mimi ni msichana natafuta kazi ambayo ni halali itakayoniingizia kipato, Nina degree ya procurement and logistics management.. Kwa mwenye kuweza kunisaidia au anaitaji maelezo zaidi naomba anicheck pm.
Natanguliza Shukrani.