Mwaka wa 5 mtaani bila kazi

Mwaka wa 5 mtaani bila kazi

Pole sana ,shule ni njia ya kukupa uwezo wa kupambana na maisha ,sasa nakushauri utafute kamtaji kidogo ufungue kabiashara kadogo ambacho katakua kidogo kidogo
 
Hii procurement ina matatizo gani? Kuna dogo namfahamu naye huu mwaka wa tatu yupo anasaga lami mpaka naona kama ameanza kuchanganyikiwa. Sad!
 
Watu kama nyie ovyo kabisa. Ajiajiri vipi, mtaji utampa?.... Mkishapata mnajua kuwambia wenzenu wajiajiri wakati wewe mwenyewe hapo umeajiriwa. Shit
haha..haha... mbona umejaa povu pole.
ukweli ni kwamba mtaji anao ila anatakiwa kusaidiwa ili autumie vizuri(sina maana hiyo) cha kwanza kutoa wazo lake humu ni kukuza mtaji wake tosha kuwa anauwezo wa kujieleza kwa tatizo linalomsumbua na humu kuna wadau wengi wanaweza kumsaidia kwa ajira na mawazo mazuri.
mimi pia nimekaa kwa miaka mitano bila ajira nilitafuta kazi ilipofika mwaka wa pili ni kama nikainua mikono ikabidi nikubali ukweli.
wengi wanapenda kujiajiri shida ni hofu ya kuanza tunaanzaje kupoteza heshima tuliyojijengea kwa majirani na marafiki zetu hapo ndo inapokuja kuwa tabu.
nilianza na kuuza juice kwa jumla kwa mtaji wa shillingi elfu tano sukari nilitumia kwanza ya ndani kwa wakati ule nakumbuka maembe ya elfu tatu na passion za buku mbili zilinifaa kutengeneza lita 12 za juice kumi nikauza jumla kwa lita shilingi elfu kwa lita lita mbili zikabaki ndani. nilipolipwa faster nikafata matunda mengine ambay yaliniwezesha kutengeneza zaidi ya lita 20. ndani ya siku hiyohiyo niliagizwa kama ipo nyingine nipeleke nilifanya hivyo mpaka nilifiikia kuuza lita 30 kwa siku ikaniwezesha kulipia umeme maji na kodi mpaka naacha nilisha kuwa na mauzo ya zaidi ya 1750,000 kwa muda wa miezi kama mitatu.
sasa yapo mengi lakini ndivyo nilivyoanza na leo naona naendelea kufanyashughuli ya kujiajiri kwa kuendelea kutumia ujuzi wangu wa shule.
jifunze kutumia maarifa uliyonayo yakupatie kipato kubali kuwa unaweza nawe utaweza. tumia matatizo ya watu kama fursa kwako kwa kupata kipato siku zijazo. anza kuwasaidia bure kisha siku za baadaye itakuwa biashara.
mfano watu wengi wanatamani kuanzisha biashara jifunze na tafuta maarifa kwenye mitandao au hatahapa nenda kwenye jukwaa la wajisiliamali hutakosa kitu kisha hakiksha unakisoma vizuri na tafuta wataalamu wakuelekeze zaidi nawe kawafundishe wengine kwa fedha. mfano hapa nilipo nafundisha watu kutengeneza chakula cha nguruwe kwa kuanzia nafanya bure lakini lengo langu ni kuangalia mafanikio atakayoyapata mteja ila siku zijazo nitafanya na hela kisha nitatengeneza mwenyewe kwa kuwa mtaji wa vifaa nitakuwa nao.
wazo nilipata humu, fomula humu nikaboresha kidogo tu kisha nakuahakikishia nitapiga hela Kwa kweli MUNGU AWALIPE WANAWEZA KUWEKA JINSI WANAYOFANYA SHUGHULI ZAO KWA UWAZI ili na wengine tufaidike.
kwa leo nisikuchoshe.
 
Wewe na wewe ni Muongo sana iyo ela ni milion 175 au laki 175? kama namba tu zinakuchanganya ivi juice si utaweka ndimu wewe au chumvi
 
Watu kama nyie ovyo kabisa. Ajiajiri vipi, mtaji utampa?.... Mkishapata mnajua kuwambia wenzenu wajiajiri wakati wewe mwenyewe hapo umeajiriwa. Shit
yakhe! hapo siyo kweli ati .....yeye kaomba ushauri watu wampa maarifa ili yemwenyewe achague ati , asubiri au afanye mbadala? watu wasema vema kujiajiri siyo lazima uwe na mabilioni ndugu akili, maarifa na hasa ukizingatia na elimu aliyonayo tulitegemea na utashi utakuwa umetanuka ati! Yakhe! mie nishamaliza hivyo
 
Nakuombea umpate mtu kabisaa na utu wake ila ukiwapata matapeli basi ujue maisha yako yatakuwa siyo yako na yatakuwa yanamilikiwa na watu na subiri kuendeshwa kama robot, AMANI na FURAHA utakuja kuisoma humu JF. Ila egemea sana kwenye mawazo/ushauri chanya wale wakusema nipe no yako tuonane pale gorofa la ishirini ujue u've gone too soon!
my take! tulia fanya hizo ajira hazitatoka what else? tafuta plan B hata ukipata ajira bado unakuwa don mtoto coz unakazi na hapo hapo unakijishughuli chako na chambi unaingiza hujioni kama next Billionea hadi hapo, YAANI KUKUSHAURI HUKU NAHISI NGUVU FLAN HV AMAZING NA MAIDEA YANA FLOW TU KE BONGO YANGU......aaaggrrrrrrr
 
Dada cha msingi ikitokea kazi hata kama sio uliyosomea we Fanya Mimi nimepiga IT but nilikuwa nafanya mpaka kazi za Udereva wa wa kampun za kukodisha Magari mpaka nilipokuja kuajiriwa
 
Jiajiri mdada
Tabia ya kuwaambia watoto wa kismakini wakajiajiri wakati hata mtaji wa laki moja hawana ni upuuz,wakati watoto wa viongozi ambao baba zao wanauwezo wakuwapa mitaji wamewajaza watoto wao benki kuu,uamiaji,jeshini,zima moto na kwingineko,sio kama atupendi kujiajiri mitaji ndo tatizo
 
Habarini wanajamvi, Mimi ni msichana natafuta kazi ambayo ni halali itakayoniingizia kipato, Nina degree ya procurement and logistics management.. Kwa mwenye kuweza kunisaidia au anaitaji maelezo zaidi naomba anicheck pm.
Natanguliza Shukrani.
Kama ujaolewa na pm mama maana natafuta wa kunisaidia kula haka kamshara kangu
 
pole. . . kama hauna cha kufanya tafuta hata dili ya kuendesha bodaboda
 
Watu kama nyie ovyo kabisa. Ajiajiri vipi, mtaji utampa?.... Mkishapata mnajua kuwambia wenzenu wajiajiri wakati wewe mwenyewe hapo umeajiriwa. Shit

Watu kama wewe ndo hovyo zaidi, mtaji unaanza na wazo ulilonalo kisha pesa inafuata!! Think out of the box! Hivi ukienda bank kuomba mkopo unapewa hela kwanza au wanataka waone business plan/wazo lako la biashara kwanza?Ukijibu hili swali uje tena hapa!!
 
Ndio tatizo letu vijana wa leo. Kusoma sio ajira. Mtaji ni akili na mipango yako tu, anaweza kuanza hata na mtaji wa 20,000/=... akazie malengo tu

Kama huyo alisoma vizuri na ni mbunifu hahitaji kitu kingine kujiajiri. Ni laptop tu.

Anaweza kufanya consultancy kwa kuanzia na ndogo akawa mfanyabiashara Mkubwa. Tatizo ni uvivu na kukosa Ubunifu. Over!!!
 
Sikukatishi tamaa.... lakini sio lazima watu wote waajiriwe. Jiajiri usipoteze muda. elimu yako itakuwasadia sana kwenye kujiajiri
Sana tena sana. Procurement ni mali
 
mi nina mawazo hapa ya biashara zaid ya 3 lkn sina laki tatu za kuanzia mwaka wa 2 sasa

kuwa na wazo la biashara ni hatua ya kwanza, sasa tunatafuta mtaji ambao ni 3laki, sijui hiyo laki 3 ndio kila kitu hadi biashara inaanza au kuna mahitaji mengine. Tafuta laki tatu. fikiria njia za kuipata...waza kwa kujibana, kuomba, kukopa...au jazia mengine..... nikusaidie kufikiria kujibana...wazia matumizi yako ya siku...tafuta jinsi ya kuyapunguza na kusave... kwa miaka miwili ungeshazipata hizo laki tatu... jiongeze acha uvivu. ungesave 500/= kila siku ungeshapata mtaji
 
Wewe na wewe ni Muongo sana iyo ela ni milion 175 au laki 175? kama namba tu zinakuchanganya ivi juice si utaweka ndimu wewe au chumvi
Wewe na wewe ni Muongo sana iyo ela ni milion 175 au laki 175? kama namba tu zinakuchanganya ivi juice si utaweka ndimu wewe au chumvi
nidanganye ili inisaidie nini hivi kama unaweza kuuza hata lita 15 kwa siku unafikiri kwa mwezi unapta shilingi ngapi?
sasa kwa miezi minne inakuwaje ninachokiandika ndugu yangu nimekiishi hivyo naelewa vizuri sana mtu anaponiambia hana kzi na hana hela naijua shida yake kwakuwa hayo yalishawahi kuwa maisha yangu fulani kipindi kama cha miaka miwili nyuma kwa sasa nashukuru naweza kufanya kitu.
ndugu ilipita miaka mitatu ATM mashine sizijui rafiki zako wakikuona wanakupa ofa lakini kukuwezesha hawako tayari. ikafika sehemu na hizo pombe nikazipiga chini wakiniita nakunywa soda au maji mwishowe wakanipiga chini na nikarudi katika uhalisia na nayaona mafanikio
 
Back
Top Bottom