Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,717
- 62,667
Enhe niambie 😃😃Lets talk miss
Enhe niambie 😃😃Lets talk miss
Anapambana awe ke, ili atunzwe na kupewa zawadi kemkemMpwayungu Village yupo wapi hapo
Ndege wafananao huruka pamoja🕊🕊 kwanini tusiwambie hadhara hii, tunajambo letu, tupeleke mambo mbiombio kabla mwaka haujaishaEnhe niambie 😃😃
Wacha weee 💃💃..anzisha siledi basi 😊🤗🤗Ndege wafananao huruka pamoja🕊🕊 kwanini tusiwambie hadhara hii, tunajambo letu, tupeleke mambo mbiombio kabla mwaka haujaisha
Ila haitakuwa na mrejesho mbaya, starring hafi huwa😁Wacha weee 💃💃..anzisha siledi basi 😊🤗🤗
Sawasawa 😊🤗Ila haitakuwa na mrejesho mbaya, starring hafi huwa😁
Unique Flower akija tutambulishane 😁😁🕊Sawasawa 😊🤗
Usijali niko hapaUnique Flower akija tutambulishane 😁😁🕊
Oooh asante Malaika wa Misukosuko tubarikiwe sote. Na asante kwa kushukuru, tuko pamoja.Nitumie Fursa hii Kuwashukuru Bantu Lady na Mideko kwenye Lile Jukwaa letu pendwa la Warembo special World wide, Mungu awabariki Sana Chochote mnachopunguza Ili Sis tuone zile picha mungu Awaongezee Haya wote tuseme Amen, Katibu Leta Kikapu cha Sadaka.
Asante sana 🙏🙏🙏 tubarikiwe sote...Nitumie Fursa hii Kuwashukuru Bantu Lady na Mideko kwenye Lile Jukwaa letu pendwa la Warembo special World wide, Mungu awabariki Sana Chochote mnachopunguza Ili Sis tuone zile picha mungu Awaongezee Haya wote tuseme Amen, Katibu Leta Kikapu cha Sadaka.
Kumbe we ni msaliti😃😂Usijali niko hapa
Nimemsaliti nani tena jamani 😃😃Kumbe we ni msaliti😃😂
Badala ya kuniuliza jf, SI uje kwangu🤒Vipi lakini bestie unaendeleaje
Ina Uma Sana mamaeee yala Ina Uma😂🤒.Nimemsaliti nani tena jamani 😃😃
Pole sana aisee 😃😃Ina Uma Sana mamaeee yala Ina Uma😂🤒.
👉Najikaza tu na kisabuni
NimekujaUnique Flower akija tutambulishane 😁😁🕊