Mwaka mpya unejiandae kuupokea?

mimi nishauandalia sehemu nzuri ya kufikia na malazi & chakula taulipia mimi ko uje tu wala usiwaze sana kuhusu january
 
Dah!
Mi sijui itakuaje mana siku hiyo hata mechi za maana hakuna...hadi sa ivi sijajua ila picha inayonijia ni ya kua bored tu
@joanah mechi ipi unaizungumzia vpl, epl, la liga, fa, uefa au????

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Joanah we si mchaga lakini?
Kuna uzi wenu umefunguliwa naomba uwa cc wanawake wote wa kichaga mje kujitetea

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka asee!
Mimi sio mchaga
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka asee!
Mimi sio mchaga
Mi nasubiria kuona mapovu yatakayo toka leo.
Sichezi mbali na huo uzi maana yajayo yatanifurahisha

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…