katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Unaenda kazinikama kawaida tuu maana naona ni namba tuu nitakuwa na ratiba ka zakawaida tuu
ndio mkuuUnaenda kazini
Kweli Trump tunamlaumu tu bure, sometimes huwa anaongea ukweli!!Dah!
Mi sijui itakuaje mana siku hiyo hata mechi za maana hakuna...hadi sa ivi sijajua ila picha inayonijia ni ya kua bored tu
Life begins at 40'sNitakuwa home, crying my eyes out 🙂 Goodbye my 30's, arrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrgh
So I've been told...................😎Life begins at 40's
MmmmmmhPoleni jamani kisa cha upweke nenda katafute kampani sehemu nzuri nzuri.
Kama wewe ni msichana nenda kahongwe kama mvulana kahonge sehemu nzuri mzuri.
Usikae mwenyewe
[emoji3][emoji3]poyeeNitakuwa home, crying my eyes out 🙂 Goodbye my 30's, arrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrgh
Hata mimi naomba iwe hivyoNaomba uwe na kheri kwangu,, zaidi naamin ndio mwaka utakaobadili kabisa maisha yangu.
In God, I trust.
Sent using Jamii Forums mobile app