Program Manager
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 3,084
- 4,475
Ilikua Siku kama ya leo mwaka 2019 pale familia,wadau,na wapenzi wa muziki wa hip-hop tulikumbwa na majonzi kufuatia taarifa ya kifo Cha msanii kingzilla (king of freestyle bongo.)
Godzilla alifariki alfajiri ya tar 13 Feb 2019 baada ya kuugua ghafla nyumbani kwake mbezi salasala
Historia fupi
Jina lake kamili ni Golden Jacob Mbunda, alizaliwa Januari 5, 1988 mkoani Morogoro. Alitambulika katika tasnia ya muziki kwa wimbo wake ulioitwa 'Salasala', ambao pia unatambulisha mtaa wake aliokuwa akiishi.
Tutazidi kumkumbuka na Mungu amlaze mahala pema peponi
Amen