Mwaka huu, sijui!?

hospital hakuna dawa mama zetu wajawazito wanalala chini
watoto wanasomea chini, wao wamekazana kujaza magari ya kivita dhidi ya people's powers!!!
cute b sumbai
mama yangu faiza foxy njoo uone ccm inavyojali police wake.
 
Last edited by a moderator:
kama kila kituo kitakua na limojaafadhali ,,of which hawana
 
Badala ya kuongeza vifaa vitakavyotumika kwenye uchaguzi na kuhakikisha vinafika kituono kwa wakati wanaongeza magari kwa polisi tena yasiyitumika mara kwa mara kwani hayo ni kwa kazi maalumu wakti kuna mikoa haina zahanati za kutosha, magari wa kubebea wagonjwa na magari ya zimamoto ila kwao hayo si ya kipau mbele kama waliyonunua. kweli kazi ipo.
 

Ukiona mtu mzima na akili zake anaishabikia ccm basi ujue kuna shida mahali
 
daha nikajua ambulance za wajaa wazito kumbe mashine za kutolea uhai raia wema
Ambulance za nini wakati tumesambaza pikipiki za miguu mitatu kusaidia huduma hiyo
 
Ambulance za nini wakati tumesambaza pikipiki za miguu mitatu kusaidia huduma hiyo

Hizo pikipiki umeishawahi kuiona hata moja tu ikiwa imebeba mgonjwa? Yaani zote zimewekwa vituoni na zinaoza kwani kwa muundo wake hauwezi kuiendesha kwani kona ya kushoto ukipiga unakutana na kitanda cha mgonjwa.
 
hizo pikipiki umeishawahi kuiona hata moja tu ikiwa imebeba mgonjwa? Yaani zote zimewekwa vituoni na zinaoza kwani kwa muundo wake hauwezi kuiendesha kwani kona ya kushoto ukipiga unakutana na kitanda cha mgonjwa.
. Kuna mengi ya kuhojiana pamoja na uwezo wetu na hasa wataalam wetu kufikiri na kutumia fedha za walipakodi vizuri
 
CCM wapo wachache kuliko wanavyojifikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…