Mwaka huu hauishi...

Mwaka huu hauishi...

MDADA: Unakunywa pombe?
MKAKA: Hapana
MDADA: Unavuta?
MKAKA: Hapana
MDADA: Una mademu?
MKAKA: Hapana MDADA: Sasa unajichanganyaje na washkaji?
MKAKA: Mi muongo ile mbaya
 
Jamaa alijua mwaka hauwezi kuisha bila BAN nyingine!!!!
 
Chimbuvu vipi sasa wewe jamaa? utakuwepo? nakuja xmas ila sitakaa siku nyingi, tarehe mbili nageuka kama vipi tuchekiane, afu uko wapi now? dar? mwanza? au?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom