Wakuu mwaka huu kuna malalamiko mengi sana kutoka kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwamba pesa za kujikimu(boom) limechelewa sana kiasi cha kusababisha baadhi ya vyuo kusogeza mbele kalenda ya kufunga mfano.SMMUCo,JUCo, tatizo ni lipi? serikali haina hela? au ni bodi?