Mwaka huu bodi ya mikopo elimu ya juu(heslb) yachelewesha pesa za kujikimu(boom) tatizo nini?

ODILI SAMALU

JF-Expert Member
Dec 13, 2013
1,369
488
Wakuu mwaka huu kuna malalamiko mengi sana kutoka kwa wanafunzi wa elimu ya juu kwamba pesa za kujikimu(boom) limechelewa sana kiasi cha kusababisha baadhi ya vyuo kusogeza mbele kalenda ya kufunga mfano.SMMUCo,JUCo, tatizo ni lipi? serikali haina hela? au ni bodi?
 
vyuo vya public wameshapewa ila private ndo msahau!mtapewa baada ya kufanya UE
 
Pale hazina kuko hivi.
Waziri .... ni saada mkuya. naomba cv yake.
Naibu waziri.... ni handsome boy Adam Malima mzee wa kuibiwa kwenye gesti.
Naibu mwingine.....ni Mwigulu nchemba .....hajawahi kukaa ofisini. alitoka marekani juzi kapitoia Dodoma sasa yuko kwenye ziara ya Kinana. The guy is not office material. He can not concentrate on issues apart from blah blah blah urojo na utumbo mikutano ypa kumsema Sheikh Prof. Lipumba na Mbowe.
 
kunakaukweli kidogo hapa mkuu.
 
Serikali imebakisha pesa za safari za viongozi na posho za wabunge tu,nyie wasomi subirini semester ijayo Mwigulu akimaliza ziara zake,maana huyu jamaa anafanya kazi za chama tu sa sijui uwaziri wake una tija gani?au kuitafutia njia rahisi ccm imalizie zile pesa za epa zilizobaki pale hazina?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom