Range rover
Senior Member
- Nov 22, 2016
- 186
- 195
Mwaka 2017 umeanza hivyo bado mpyaa yaani lakini kwa akili zenu mlivyo huu mwaka mta uchafua mapemaa kabla hata ya mwezi wa 3,hivyo nna wasihi vijana wenzangu epukeni ulevi,uzinzi na mambo yanayo rudisha nyuma maendeleo
Asanteni sana,kheri ya mwaka mpya 2017.
Asanteni sana,kheri ya mwaka mpya 2017.