Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Mimi niliombwa na mwalimu wangu wa shule ya msingi niliyekuwa namheshimu sana. Nilipomaliza form six aliniomba xheti nadhani kwa ajili ya ndugu yake. Sikumbuki hata nilikataaje kwa kipindi hicho maana xheti ninacho bado.
Kuna jamaa yangu alimaliza form four pale Kinondoni Muslim mwaka 2000.Mwaka 2003 classmate wake mmoja akaja kumuomba cheti...After one month jamaa anamwambia mwenye cheti " Kile cheti kimepotea bro"Jamani jamani haya mambo ni magumu.
Mwaka 2011 jamaa yangu kabisa wa kijiji kimoja akaniomba nimpe cheti changu cha form 4 afanyie application ya kujiunga na Chuo cha Maabara kule DCT Mvumi Dodoma. Wakati huo mimi niliamini kabisa hakutakuwa na system ya kutrack vyeti huku mbeleni. Maana mwaka huo nilishamaliza Chuo Kikuu Kikuu cha Sokoine ( SUA ).
Jamaa aliniomba sana mpaka kidogo alie. Akatumia mpaka watu ambao ni ndg zangu kuniwashawishi. Kidogo niingie kingi. Nikastuka aisee!
Saivi sijui ningekuwa mgeni wa nani saivi.
Maana msako wa vyeti feki ulinikumba hata mimi.
Uliwahi kumsaidia mtu cheti akatoboa ? Au ulimnyima ?
Dah ningekua mim ndo mwenye cheti jamaa ningemtandika ngumi 2 kavu za pumbu ili akili imkae sawa na angeenda kutafuta cheti alikopoteza kumamaeKuna jamaa yangu alimaliza form four pale Kinondoni Muslim mwaka 2000.Mwaka 2003 classmate wake mmoja akaja kumuomba cheti...After one month jamaa anamwambia mwenye cheti " Kile cheti kimepotea bro"
Mkuu haukutoa cheti ambacho haukuombwa, sawa.Mmmm sikuombwa ndomana sikutoa
mm niliombwa cha form six, nikamwambia usikirudshe, kimesimamisha F nne na E ya DS, asaiv n dr.
ile E ilinisaidia nisiwe wa mwisho kitaifa.
Vita ya tatu ya dunia hii hapa naionaKuna jamaa yangu alimaliza form four pale Kinondoni Muslim mwaka 2000.Mwaka 2003 classmate wake mmoja akaja kumuomba cheti...After one month jamaa anamwambia mwenye cheti " Kile cheti kimepotea bro"
Hahahaha sijui ningemfanyaje aseeeKuna jamaa yangu alimaliza form four pale Kinondoni Muslim mwaka 2000.Mwaka 2003 classmate wake mmoja akaja kumuomba cheti...After one month jamaa anamwambia mwenye cheti " Kile cheti kimepotea bro"
Kuanzia 2008 mkuuNadhani nyie mtakuwa wahenga tena vikongwe hasa, maana waliomaliza elimu ya sekondari kuanzia mwaka 2009/2010 vyeti vyao vina picha ya mhusika.
Je, inawezekana vipi kufoji kirahisi hivyo.
Umetisha chiefmm niliombwa cha form six, nikamwambia usikirudshe, kimesimamisha F nne na E ya DS, asaiv n dr.
ile E ilinisaidia nisiwe wa mwisho kitaifa.
Nadhani nyie mtakuwa wahenga tena vikongwe hasa, maana waliomaliza elimu ya sekondari kuanzia mwaka 2009/2010 vyeti vyao vina picha ya mhusika.
Je, inawezekana vipi kufoji kirahisi hivyo.