Katika pita pita zangu, nimekutana na picha ya black & white. Ni ya machifu wa Kingoni walionyongwa na Wajerumani mwaka 1906 kwenye vita ya majimaji.
Nimejiuliza swali kwenye picha ile majibu kidogo yakaniwia magumu nikaona nije hapa sintokosa majibu mahusisi kwa maswali yangu.
1.Hivi mwaka 1906 kamera zilikuwepo tayari? Vipi za video nazo zilikwepo?
2.Ile picha ni 1906 kwa vyovyote aliipiga Mjerumani ambaye ezi hizo ni adui mkubwa kwetu picha ile ilitunzwa wapi mpaka leo? Na nani?
3.Kama 1906 kamera zilikuwepo, kabla ya mwaka huo zilianza kutumika lini?
Daaah wameua wengi sana kikatili aisee!
Wameua kwa jina la yesu!!
Camera ya kwanza ilitengenezwa na Alexander Wolcott, alivumbua tarehe 8 may 1840, Hao mashujaa walinyongwa kipindi ambacho Kuna Kamera, kwa hiyo hizi picha ni halisi.
Pia zipo picha nyingine nyingi za Hao wangoni.
louis le prince yeye aligundua video Camera mwaka 1895
Wenzetu wanatunza sana kumbukumbu.
Hawa wazungu yesu kawafundisha kuua!! Walaaniwe!!
Wameua kwa jina la yesu!!
Hawa wazungu ni washenzi sana jamani tuache kuwashobokea,,
Weweee!,ukome kabisa ibilisi mkubwa,unadhani Yesu ni km Yule mwanzilishi wenu wa makkar anayesema ukimuua mkristu unaipata mbingu hata km mkristu akikuwahi wewe umeipata?,thubutu! Yesu siyo wa kuchezewa hivyo tena acha kabisa tusije chafua hali ya hewa.