Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 39,736
- 92,174
Kiongozi umegundua tatizo gani kwa huyu Mwaipopo? Makanjanja wengi upande wa pili wamegunuda kuna upigaji kwenye dini na wao wameamua kuingia kwenye biashara. Alianza Mkenya anaitwa Deya kama televangalical sasa kuna Waislamu nao wamekua nazo TV kama DeyaHamjambo!
Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume.
Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani inawezekanaje mtu ajiitaye mchungaji au nabii awe hana sifa hizo na bado akawa na wafuasi na wanatoa hela.
Lakini muda umefika. Uislam nao umeingia katika mtihani. Pamezuka watu wajiitao waislam ambao wanaudhalilisha uislam na waislam. Masheikhe ubwabwa.
Mwaipopo nafikiri ni bora asitumie hilo jina la kwanza kama kweli anaheshimu dini yake hiyo na kuheshimu waislam wenzake. Kwani anaivunjia heshima na kuchafua hadhi ya usheikhe.
Mtu wa dini yoyote mwenye uchaji Mungu hawezi kumwombea mtu mwingine kunyongwa. Achilia mbali kushawishi watu waombee mtu mwingine anyongwe.
Mwaipopo acha kabisa hizo. Usitumie siasa kuwapa sababu wasioupenda uislam kupata reference ya kudharau dini yako.
Nimemaliza
ok.🐒Hamjambo!

duh watake radhi kiongoziMashehe wenyewe hawa wakihonga kobazi na tende akili zinawatoka
Tatizo ni mufti wa Tanzania
Bwana zubeir abubalari
Kabla ya kumuita Mwaipopo Sheikh ni vyema aje hapa kwa hekima kabisa mwanazuoni wa Kiislamu aeleze step by step mpaka mtu kuwa na tittle ya Sheikh anapitia ngazi zipi?Hamjambo!
Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume.
Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani inawezekanaje mtu ajiitaye mchungaji au nabii awe hana sifa hizo na bado akawa na wafuasi na wanatoa hela.
Lakini muda umefika. Uislam nao umeingia katika mtihani. Pamezuka watu wajiitao waislam ambao wanaudhalilisha uislam na waislam. Masheikhe ubwabwa.
Mwaipopo nafikiri ni bora asitumie hilo jina la kwanza kama kweli anaheshimu dini yake hiyo na kuheshimu waislam wenzake. Kwani anaivunjia heshima na kuchafua hadhi ya usheikhe.
Mtu wa dini yoyote mwenye uchaji Mungu hawezi kumwombea mtu mwingine kunyongwa. Achilia mbali kushawishi watu waombee mtu mwingine anyongwe.
Mwaipopo acha kabisa hizo. Usitumie siasa kuwapa sababu wasioupenda uislam kupata reference ya kudharau dini yako.
Nimemaliza
Kabla ya kumuita Mwaipopo Sheikh ni vyema aje hapa kwa hekima kabisa mwanazuoni wa Kiislamu aeleze step by step mpaka mtu kuwa na tittle ya Sheikh anapitia ngazi zipi?
Pili tuje kwa huyu ndugu Mwaipopo tuwekewe Cv yake kama tunavyoonaga Cv za Kiteolojia za wanaparokia hapo ndio tunaweza kufanya mjadala.
N:B, Hasije mtu na tittle za Kiarabu Sheikh ni Mzee tunahitaji kidini in Islam faith.
Hii itasaidia kumjuwa Mwaipopo ni nani kabla ya kupoteza muda kumbe ni Nabii Tito tu aliyechangamka.
Huyo anawakilisha wapuuzi wengi walio nyuma yake na wanamtuma. Bahati mbaya sana wana madaraka makubwa yanayowapwayaHamjambo!
Zamani tulizoea kuona huku Ukristoni pakitokea watu wanaodhalilisha vyeo kama uchungaji, ukuhani, unabii na utume.
Ilifikia hatua mpaka Waislam wakawa wanasema Wakristo ni mazuzu kwani inawezekanaje mtu ajiitaye mchungaji au nabii awe hana sifa hizo na bado akawa na wafuasi na wanatoa hela.
Lakini muda umefika. Uislam nao umeingia katika mtihani. Pamezuka watu wajiitao waislam ambao wanaudhalilisha uislam na waislam. Masheikhe ubwabwa.
Mwaipopo nafikiri ni bora asitumie hilo jina la kwanza kama kweli anaheshimu dini yake hiyo na kuheshimu waislam wenzake. Kwani anaivunjia heshima na kuchafua hadhi ya usheikhe.
Mtu wa dini yoyote mwenye uchaji Mungu hawezi kumwombea mtu mwingine kunyongwa. Achilia mbali kushawishi watu waombee mtu mwingine anyongwe.
Mwaipopo acha kabisa hizo. Usitumie siasa kuwapa sababu wasioupenda uislam kupata reference ya kudharau dini yako.
Nimemaliza
Sheikh ni jina la kuonesha tu heshima kwa mtu. Hata mimi Mkatoliki nina jamaa yangu Muislam huwa tunaitana Sheikh!Kabla ya kumuita Mwaipopo Sheikh ni vyema aje hapa kwa hekima kabisa mwanazuoni wa Kiislamu aeleze step by step mpaka mtu kuwa na tittle ya Sheikh anapitia ngazi zipi?
Pili tuje kwa huyu ndugu Mwaipopo tuwekewe Cv yake kama tunavyoonaga Cv za Kiteolojia za wanaparokia hapo ndio tunaweza kufanya mjadala.
N:B, Hasije mtu na tittle za Kiarabu Sheikh ni Mzee tunahitaji kidini in Islam faith.
Hii itasaidia kumjuwa Mwaipopo ni nani kabla ya kupoteza muda kumbe ni Nabii Tito tu aliyechangamka.
Mufti wetu ni Sheikh Ponda.KIPOOZEO ndiyo sheikh wa taifa
Tunaye Mwanazuoni anaitwa Mshana Jr atakuja kutufahamishaNgoja wanazuoni wa kiislam watakuja hapa na ufafanuzi
Kuwa Sheikh au kiongozi wa kiroho siyo tu kujua lugha karama ya usemaji au kutafsiri maandiko kwani uongozi wa kweli wa kidini unahitaji ukomavu wa elimu ya kina ya itikadi au theolojia na adabu ya ulinganiziKIPOOZEO ndiyo sheikh wa taifa