HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,394
Labda bin-ccm kizikmaziBin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako.
Short and clear mwenye kubisha aje
Kwa akili hizi unathibitisha kuwa kweli wewe si binàdamu.Labda bin-ccm kizikmazi
Kwahiyo wewe chanzo chako ni wapi kwa maana watu huamini chanzo cha koo na asili ya watu wote wa Dunia kilianzia hapo kwa AdamBin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako.
Short and clear mwenye kubisha aje
Unaweza kubishana na kichaa?Short and clear mwenye kubisha aje
Waulize niliwo wataja kwa nini sio binadamu wanashindwa kujibu kwa hojaKwa akili hizi unathibitisha kuwa kweli wewe si binàdamu.
Tatizo umemezeshwa kuwa wewe ni Bin-Adamu na hutaki kuifikirisha akili yako na kuifanyisha kazi ya kujitambua na kujua ASILI yako,usisome andiko na kulitafasiri kwa maana rahisi kulingana na ujinga wako jifikirishe!!Kwa akili hizi unathibitisha kuwa kweli wewe si binàdamu.
Sasa sisi ni akain Bin nani..?? ama ndio Bin-SokweBin-Adam ni MTU aliye na asili ya ukoo au uzaio wa ADAM wa mchongo wa kwenye biblia wewe Mwafrika siyo ukoo wa Adam na unapaswa kujitambulisha kama MTU kwa ubini wa asili yako.
Short and clear mwenye kubisha aje
Kwanini mbwa,kuku,miti,samaki nao wasiitwe bin-adamu kama ubin-adamu ni utambulisho wa viumbe vyenye uhai?Waulize niliwo wataja kwa nini sio binadamu wanashindwa kujibu kwa hoja
Wewe ni huwezi kuwa hata na ubini wa sokwe sokwe kwani sokwe anajitambua na ana akili kuliko wewe ambaye unashindwa hata kujua maana ya "bin-" ambao ni mzizi wa neno "ubini"Sasa sisi ni akain Bin nani..?? ama ndio Bin-Sokwe
Kwanini mbwa,kuku,miti,samaki nao wasiitwe bin-adamu kama ubin-adamu ni utambulisho wa viumbe vyenye uhai?
Sometimes watu wanajiandikia tu
Tupe majibu tujitambue, acha hadithi sawaWewe ni huwezi kuwa hata na ubini wa sokwe sokwe kwani sokwe anajitambua na ana akili kuliko wewe ambaye unashindwa hata kujua maana ya "bin-" ambao ni mzizi wa neno "ubini"
Tafuta maana ya "ubini" ndiyo utatambua kuwa wewe siyo Bin-Adamu,ufikirishe ubongo wako uweze kutoka ulipo na kupiga hatua za ufahamu
Tupe majibu tujitambue, acha hadithi sawa
Majibu gani unataka na kwa swali lipi?Tupe majibu tujitambue, acha hadithi sawa
Sisi ni akina Bin nani.??Majibu gani unataka na kwa swali lipi?