Mwacheni Magufuli aitwe Magufuli

Mwacheni Magufuli aitwe Magufuli

1. Wakati wa JPM hakukuwa na upigaji lakini sasa ni balaa tupu.

2. Wakati wa JPM hakukuwa na mfumuko wa bei za vitu lakini sasa ni balaa tupu.

3.Wakati wa JPM Watanzania walipata huduma katika taasisi za Serikali kwa urahisi kabisa lakini sasa ni balaa tupu.

4. Wakati wa JPM wapigaji walikalia kuti kavu lakini sasa ni balaa tupu.

5. Wakati wa JPM vibaka pamoja na PANYAROADS walitokomezwa lakini sasa ni balaa tupu.
RIP, JPM, MWANA AFRIKA NA MZALENDO WA KWELI.
Upigaji wote aliufanya yeye mwenyewe kwa kiwango cha kufuru si unajua alivyokuwa na wivu?
 
Inaonekana wewe ni mmoja wa wanaoogopa likitajwa jina"MAGUFULI"
Maana siku hizi JPM anawatikisa na kuwayumbisha hata wale wa ngazi za juu.
Too much is harmful. Hapo ulipo unahitaji msaada wa kisaikolojia. Haiwezekani mtu na akili zako timamu muda wote unamuwaza Magufuli tu!

Huna familia yako mheshimiwa ya kuiwazia! Naamini hata Mjane wa Marehemu haweweseki kwa kuondokewa na mumewe kama wewe unavyo weweseka.
 
Wakati wa Jiwe wafanykzi waliganda, walifukuzwa kzi, mauaji, waliojulikana,1.5T ziliyeyuka, machinga IDs hela hazikuingia hazina, nk nk
Acha jiwe aitwe jiwe.
Akawaongoze malaika
Kwa matendo hayo anastahili kuwa shetani mkuu.
Tupe uthibitisho wa wizi wa jpm
Kwa nini wewe usithibitishe kuwa hakuwa mwizi?
 
Mleta uzi hukumsikia alichosema Zitto kwabwe
 
Kwa matendo hayo anastahili kuwa shetani mkuu.

Kwa nini wewe usithibitishe kuwa hakuwa mwizi?
Wewe unayewashwa ndo unatakiwa ushuke na ushahidi sio mimi.uliona wapi mtu anatetea kitu ambacho hakipo
 
Ni nani sukari ilitoka 1500-3000?
Ni wakati wa nani mafuta ya kupikia yalitoka 3000-5000?
Ni wakati wa nani unga ulifika 2500 kwa kilo?
 
Hapa ni mahala pangu haswaa!

Nina kazi maalumu ya kuwanyoosha watoto wa mama wanaobwabwaja mitandaoni na kushabikia mafisadi.

Karibu chumbani my wangu nikutifue.
Pathetic, Sukuma gang gazi mnayo manake pamoja na kampeni zote legacy aliyoiacha yule Muhutu iliyo vichwani mwa watu ni uuaji, utekaji, utesaji na uporaji pamoja na wizi wa matrilioni ya fedha za nchi.
 
Back
Top Bottom