Mwacheni JK ajenge barabara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwacheni JK ajenge barabara

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BIN BOR, Feb 17, 2011.

 1. BIN BOR

  BIN BOR JF-Expert Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]

  kwani nyumbu na mtu nani ana bei kubwa?
   
 2. m

  mambomengi JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 829
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Hana pesa ya kujenga hio barabara(red). Wafadhili wake wanapendelea njia ya kijani. Sasa achague moja kati ya barabara (njia ya kijani) au kulalamika. Hata hivyo kama picha ipo sahihi barabara anayopenda(nyekundu) haina mwisho mzuri wakati ile wanayopenda wafadhili ina mwisho mzuri (termini) kwani inakamilisha mzunguko wa barabara (road network). Pengine kama kawaida hajashauriwa vizuri.
   
 3. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Yanayotokea ndani ya wiki moja
  - Waziri Mkuu Pinda anapindisha sheria kwa kulidanganya bunge na wananchi huko Dodoma bungeni
  - Spika Anna Makinda Samamba anatetea wongo wa pinda Bungeni kwa kumtetea Pinda aheshimiwe kama mkubwa hata akidanganya
  - Mheshimiwa Godbless Lema ananyimwa haki bungeni ya kuanika ukweli ambao Pinda amelidanganya bunge na wananchi
  - Msafara wa Mke wa Rais Kikwete unapata ajali na dereva wa Ikulu (usalama wa taifa) anafariki ajalini
  - Leo ghala la silaha za vita la jeshi la Wananchi mabomu yanalipuka na kuathiri makazi ya raia kitu ambacho kilishatokea ndani ya miaka miwili huko Mbagala.
  Tuendelee kuomba Mungu atunusuru
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kwa maoni yangu, njia nzuri ni ile ya bluu

  [​IMG]
  Serengeti_map.jpg
   
 5. T

  Tata JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,744
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Bw. Kichuguu sijui ulifikiria nini kuchora hii njia mbadala yenye kubadilisha mipaka ya nchi ya Kenya. Nadhani kabla haijajengwa itabidi haya mabomu yanayolipuka bila sababu Mbagala, Gongolamboto na kwingineko yakatumike jirani na mpaka mpya.
   
 6. Novatus

  Novatus JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 28, 2007
  Messages: 331
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe utaleta vita ya mipaka
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Feb 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu si maboooom yapo hayana kazi!
   
Loading...