Mwabukusi: Wamemuuwa wakili Joseph Masanja na wamekataa kuchunguza

Mwabukusi: Wamemuuwa wakili Joseph Masanja na wamekataa kuchunguza

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza namna mawakili wananyanyaswa na vyombo vya dola wakati wanajitoa bure kutetea wananchi.

Mwabukusi amerejelea sakata la wakili kupigwa ndani ya mahakama na kifo cha wakili Joseph Masanja ambacho kilitokea katika hali tatanishi akidai Polisi kushindwa kufanya uchunguzi

 
Back
Top Bottom