Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi hawakuridhia michakato ya zoezi hilo. Pia amedai kuanzia saa nne asubuhi hakuna kura zilizopigwa akieleza Tume inatakiwa kuhojiwa ilihusikaje katika vurugu hizo za Oktoba 29