Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 142,997
- 288,241
Masikini wengi mnawaza kula tuWamechelewa sasa hivi wangepigania unga na nyama vishuke bei!
Masikini mwabukusi,amedanganywa na mwizi wa magariMtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo
Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano
View attachment 2961830
Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI hana na wala hajawahi kuwa na rafiki
Hali ilikuwa hivi
View attachment 2961832View attachment 2961833
Unafikiri hata huyo mwabukusi na lema wanawaza nini kama sio kula matumbo yao kalaghabao baki na ubao!Masikini wengi mnawaza kula tu
Hiki ndio kimewachanganya wale wengine wazee wa Kunyonya damu a.k.a ChawaMtikisiko huo kabambe umetokea kwenye Mkutano wa hadhara uliovurumishwa mjini humo
Ajenda kuu ya mikutano ya sasa ni kuwaamsha Wananchi kudai haki zao ikiwemo Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi kwa kushiriki Wiki ya Maandamano
View attachment 2961830
Huku wananchi wengine wakiendelea kusisitiziwa kwamba SHETANI hana na wala hajawahi kuwa na rafiki
Hali ilikuwa hivi
View attachment 2961832View attachment 2961833
Tumbo halina SiasaUnafikiri hata huyo mwabukusi na lema wanawaza nini kama sio kula matumbo yao kalaghabao baki na ubao!
Hawawezi kuwaza nje ya matumbo yao.Masikini wengi mnawaza kula tu
Cheki uwezo wako wa kufikiri......na wewe ni GT?Wamechelewa sasa hivi wangepigania unga na nyama vishuke bei!
Wewe unafikiri wananchi wanataka nini kwa mawazo yako!Cheki uwezo wako wa kufikiri......na wewe ni GT?
Wanataka wawezeshe huduma bora na utawala wa haki.Wewe unafikiri wananchi wanataka nini kwa mawazo yako!
Haki pia watajitafutia wenyewe wakishashiba!Wanataka wawezeshe huduma bora na utawala wa haki.
Chakula wananitafutia kwa nguvu zao wenyewe.
Umeandika ujingaHaki pia watajitafutia wenyewe wakishashiba!
Hakika kabisa!Tumbo halina Siasa
Mbona na baba yako ni jizi l mikate hotelini?Masikini mwabukusi,amedanganywa na mwizi wa magari
Mipango mibovu ya serikali ya ccm ndio inayofanya bidhaa hizo zipande bei,pia acha kutegemea watu wakupiganie,ukiona kwako unga umepanda bei fanya push back yako ,usikimbilie humu na kulalamaWamechelewa sasa hivi wangepigania unga na nyama vishuke bei!
Hao unaowatetea ndio mkaguzi mkuu wa fedha za serikali kila mwaka anawataja kuwa wametuibia matrilioni ya pesa zetu na kununua majumba ughaibuni.Unafikiri hata huyo mwabukusi na lema wanawaza nini kama sio kula matumbo yao kalaghabao baki na ubao!
Hata huyo Lema ni kula tu ndio inayomfanya awemropokwaji, hana lolote zaidi ya njaa tu.Masikini wengi mnawaza kula tu
Nawe pambana upate hayo matrilion kwa mbinu zake!Hao unaowatetea ndio mkaguzi mkuu wa fedha za serikali kila mwaka anawataja kuwa wametuibia matrilioni ya pesa zetu na kununua majumba ughaibuni.
Wewe mbona sijakuona kupigania hiyo katiba unaacha watu watangulize sura zao wewe umejificha!Mipango mibovu ya serikali ya ccm ndio inayofanya bidhaa hizo zipande bei,pia acha kutegemea watu wakupiganie,ukiona kwako unga umepanda bei fanya push back yako ,usikimbilie humu na kulalama