binadamu wote ni sawa tabia ni zile zile tu ,sema wengi wanajifanya patriotic front mdomoni sababu hawajapata nafasi . Nakumbuka Jimbo moja hapa Tanzania walishinda chadema kuanzia mbunge hadi wenyeviti wa serikali za mitaa hapo ndipo ule msemo wa pata cheo tujue tabia yako ndipo unaakisi, hawa watu tabia zao ni zile zile ,mienendo yao ni ile ile sema tu hawana nafasi, ndiyo maana wanajivisha ngozi ya kondoo . Human nature is human nature, Tanzania jambo la msingi linalohitajika kwa sasa ni kitaba mpya ndio mwarobaini katika mambo mengi yanayolitatiza taifa hili na sio chama.