Mwabukusi ana bills za kulipa, tusimlaumu

Mwabukusi ana bills za kulipa, tusimlaumu

Mwamba apambanie familia yake halafu tena aje atupambanie wanyonge? Bora aendelee kuwekeza kwenye apartments na bonds ili akimaliza AWAMU Yake awe na cha kuonyesha familia
Mnataka kumlaumu Mwambukusi bure, tatizo letu si CCM au CHADEMA, tatizo kubwa ni waafrika wawe huru katika kujiendesha, yaani tuondoe ukoloni mambo leo.
 
Hivi kazi yake ni nini ?

Mbili hii sio kazi ya mtu mmoja ni kazi ya kila mmoja wetu kusimamia haki, sheria na usawa katika mazingira yetu (brother's and sister's keeper); tukemee kila ovu na sio kuchochea kwa kutaka kuzima moto kwa petroli....

Na tunapoendelea ni kuzidi tu kuongeza maadui kwenye list (wakati maadui wa kweli ni uonevu, rushwa na mifumo mibovu)
 
Maendeleo ni mipango ya muda mfupi iki acceleration mipango ya muda mrefu.
Hi taibia ya viongozi kufundisha watu kujijali TU familia Yao mwenyewe, haitasaidia kukuza uchumi wa nchi. .

Zaidi ni kuongeza chuki kwenye jamii TU.

Uchumi ni mzunguko.
Hizo apartment na Bond, uchumi ukiyumba kwisha KAZI, na Kwa taarifa Yako hapo ameenda kuzizika PESA, hakuna ROI.

Ni mawaziri wangapi wa jk now ni apecho alolo.
 
Back
Top Bottom