Mvuvi mmoja alikua akiishi na mke wake huku
akiwa hajui kama mkewe malaya,
Leo hii kamuaga mkewe baada ya kuondka
mkewe akaanza kuingiza wanaume kama
kawaida
Hawara 1; Nakupenda
Mke Wa Mvuvi; Oke, Nipe Penz Haraka Kabla
Mume wngu hajarudi.
Hawara 1; Oke!
Basi picha likaanza wakati wanaendelea mara
mlango ukagongwa, akamwambia hawara mume
wangu huyo jifiche darini jamaa akafanya,, mke
wa mvuvi akaelekea mlangon kumbe alikua
hawara 2.
mke wa mvuvi; Aaahaa kumbe ni wewe nilijua
mume wangu bas njo haraka kabla mume wangu
hajarudi.
Picha likaendelea huku wa darini akiona vyote,
mlangon kukagongwa
Mke wa mvuvi; mume wangu hyo jifiche uvungun
jamaa akafanya kisha mke akajikoki kumpokea
mumewe,
Mke wa mvuvi; Oooh! mume wngu pole umechoka eeh leo umepata samaki mkubwa nashukuru sana
tulikua hatuna mboga
Mvuvi; Usinishukuru mimi mshukuru aliye juu.
Hawara 1; Sipo mwenyewe mwingine yupo
uvunguni.
Ha ha ha ha haaaaaaa
Kama wewe ndo ungekuwa Mvuvi ungefanyaje??