Elimu 1: tujitahidi kupata elimu ya kutuwezesha kuishi ktk huu ulimwengu unaobadilika kwa kasi ya ajabu (acafemic education)
Elimu 2: tupate elimu ya kiroho ili tuwe na maadili mema tumwogope Mungu na tuwapende binadamu wenzetu ( spiritual enlightment)
Elimu 3: tujifunze kwa umakini kuhusu mifumo mbalimbali ya kisiasa na kijamii (socialization).
Elimu Elimu Elimu !!!!