Mkuu naunga mkono hoja yako ..ingawa itararuriwa ionekane meaningless......tatizo liko hapo, hawajitambui na wana panic....mwishowe wanapitiliza......
Habarini wa ndugu.
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu hasahasa kwenye mvuto wa mtu na mtu kwenye swala la mapenzi.
Nitazungumzia upande wa mwanaume kuvutiwa na mwanamke kwamba ni sanaa aliyo nayo mwanamke.
Sanaa hii ni ile hali aliyo nayo mwanamke mfano jinsi anavyo ringa, anavyoongea anavyocheka anavyo tembea hata anavyo kaa kimapozi kuna vitu vingi sana kila mwanaume anajua anachanganyikiwa na sanaa ipi.
Sasa siku izi wadada wengi hawajitambui, wamepanic hawajiamini wamemkimbilia mchina na madikodiko yake hatimae wameharibu maumbo yao mazuri yaliyokuwa na UWIANO mzuri ( waist to hips ratio ) uliosanifiwa na MUNGU.
Nimemuona mdada mmoja hapa jinsi anavyo jutia kutumia dawa za kichina mpaka anatia huruma
ni hayo tu ya kufungia mwaka.
'When GOD was build a woman everything build to her, skills, ideas, wisdom.
mkuu mimi nadhani umeleweka uliandika kwa kiswahili uzi wako, ila hapa mwishoni
'When GOD was build a woman everything build to her, skills, ideas, wisdom.
You have a point mkuu, ndani kabisa ya moyo wangu kuna vitu vinavutia zaidi kwa mwanamke ukiondoa weupe wa bandia na makalio.
1. Mwili uliogawanyika kwa uwiano, kiuno chenye duara na kipenyo chenye uwiano na mwili
2. Kifua kidogo kilichobeba vilima viwili vyenye nafasi
3. Miguu iliyosimama juu ya mapaja yenye mlinganyo sawia
4. Sauti laini iliyojaa ladha ya lugha sanifu
5. Macho meupe na nyusi zilitengenezwa kwa usanifu bila kupaka rangi
6. Mwanamke msafi, mwenye ngozi laini iliyotunzwa kwa mafuta ya nazi, nywele safi zisizo na kemikali na mwenye kuvaa mavazi nadhifu
7. Mwanamke anayejua kuwa yeye ni mwanamke, anatembea , anakula na kuongea kama mwanamke.
Khaaa jamani kwa hiyo sisi wenye sauti zetu za mikwaruzo ndo tukusahau kabisa? Lol4. Sauti laini iliyojaa ladha ya lugha sanifu