Payer
JF-Expert Member
- May 10, 2014
- 824
- 189
Salamu wandugu.
Saikolojia inaonesha kuwa, mwanamke huvutiwa na mafanikio ya mwanaume au uwezo wake kiakili wa kutafuta pesa kuliko muonekano wao. Kwa mwanamke, pesa ndio matarajio makubwa ya uhakika kwa maisha yajayo. Ndio maana waweza kuta mtu mume asiye na mvuto mzuri sana anamiliki mke mwenye mvuto wa ajabu.
Ukweli huu wanaujua na kuuishi ila hawako wazi sana kusema.Kwa upande wa pili, mwanaume huvutiwa zaidi na muonekano mzuri wa mwanamke na sio akili wala kipato chake.
Nini maana yako katika hili.Karibuni tujadili pamoja.