Mvuto unaoweza kukutesa

Mvuto unaoweza kukutesa

Habari wanajamvi, poleni kwa mtikisiko wa kiusalama kwa ndugu yetu Lissu dua zetu Allah anazidi kumpa wepesi.

Niende kwenye mada mi nikijana wa 26yrs old nina kazi yangu na najitegemea kwa kila kitu.

Ni kijana mwenye mvuto sana kwa kina dada wa rika zote, kiukweli nasumbuliwa saana hasa na watoto wakali mno.

Nahisi mvuto wangu ni pigo la maisha kwangu kwasababu inabidi niwakimbie viumbe hao kwasababu siwezi kuwashughulikia nina upungufu wa nguvu za kiume juzi hata nimejaribu kutumia dawa za viagra inayoitwa NJOI ndio sikuweza kusima kabisa siku mbili hadi aibu na mrembo niliyekua nae ananidai anataka nimle ili roho yake itulie maana siku ile nilimdanganya kwamba naumwa.

Msaada wenu maana mpaka natamani kujiweka mchafu nivute bangi au niwe mlevi wasinipende naona mvuto wangu unagharimu maisha yangu.

Ahsanteni
Mkuu watie vidole tu..hiyo problm ni ngumu kumeza kama viagra pia vimefeli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mvuto kama huyu hapa?
3bb3fa46dba970850b42f26e9227fb9f.jpg
Hajavaa sidiria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asubuhi uume unasimama?
Mara ya mwisho uume kusimama ni lini?
Ulishawahi kukamua demu kabla tangu uzaliwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nishakua na demu before ila nikiwa na age ya 23 ndo Kwa mara ya kwanza nalala na demu hapo ghafla ikaanza kugoma nikiwa na demu haisimama nikiwa mwenye inasimama tena kwa nguvu
 
Ha ha umemfurahisha saana mtu angu any way ila sio rahisi hivo kukesha na mtoto wa kike huku una mfinger print wakati mashine ipo inaumiza kinyama yaan
Kwakweli hilo ni zito mno..just I cant imagine if it was me having such probem..mkuu nakushauri ungeenda dr specialist kwa matatizo haya nafikiri huko utapata mwangaza kuhusiana na tatizo lako..kila la heri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran... Ila ndugu usiombe mtihani huu ukukute aisey unauma saana maana hapa bongo hamna wataalam wa mambo haya kwa kadiri nilivyoulizia
dah pole sana jaribu kufanya mazoezi yanaitwa pelvis tafuta YouTube namna wavyofanya
 
Back
Top Bottom