Mvuto unaoweza kukutesa

Mvuto unaoweza kukutesa

Nenda hospital au kwenye clinic ya saikolojia unaweza ukawa na nguvu sema mind yako haijatulia
 
Kula sana nyanya chungu zile chungu ni dawa sana impact huta iona hapo hapo ila baada ya kama miezi miwili mashine inakua poa
 
Mashine ndo kila kitu. Kwanza uwasira unaonekana kama huna pesa ila ukiwa na pesa unakuwa bonge la HB na warembo watakukimbilia tu

BUJA
Ha ha ha, mpaka Pesa?
Pesa hiyohiyo ingeweza kunyanyua Mashine. Nakukufanya u-enjoy life.

Uwasira utakufanya uwe mtu wa gubu, wivu na roho mbaya tu kwa wale waliojaaliwa.

Let's agree in disagree

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mvuto kama huyu hapa?
3bb3fa46dba970850b42f26e9227fb9f.jpg
 
Nenda hospitali kubwa ya serikali(rufaa) uwaone madaktari. Hapa utapigwa vijembe mpaka unaweza kunywa sumu kwa sababu wengi hawachukulii matatizo yawaomba ushauri serious.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unataka kuondoa mvuto au kutibu tatizo la nguvu za kiume?
 
waone madaktari watakusaidia ila weka imani na muumba wako yy ndio ametaka uwe hivyo pengine.
 
waone madaktari watakusaidia ila weka imani na muumba wako yy ndio ametaka uwe hivyo pengine.
Shukran... Ila ndugu usiombe mtihani huu ukukute aisey unauma saana maana hapa bongo hamna wataalam wa mambo haya kwa kadiri nilivyoulizia
 
Back
Top Bottom