Mvuto unaoweza kukutesa

Mvuto unaoweza kukutesa

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,580
Reaction score
6,279
Habari wanajamvi, poleni kwa mtikisiko wa kiusalama kwa ndugu yetu Lissu dua zetu Allah anazidi kumpa wepesi.

Niende kwenye mada mi nikijana wa 26yrs old nina kazi yangu na najitegemea kwa kila kitu.

Ni kijana mwenye mvuto sana kwa kina dada wa rika zote, kiukweli nasumbuliwa saana hasa na watoto wakali mno.

Nahisi mvuto wangu ni pigo la maisha kwangu kwasababu inabidi niwakimbie viumbe hao kwasababu siwezi kuwashughulikia nina upungufu wa nguvu za kiume juzi hata nimejaribu kutumia dawa za viagra inayoitwa NJOI ndio sikuweza kusima kabisa siku mbili hadi aibu na mrembo niliyekua nae ananidai anataka nimle ili roho yake itulie maana siku ile nilimdanganya kwamba naumwa.

Msaada wenu maana mpaka natamani kujiweka mchafu nivute bangi au niwe mlevi wasinipende naona mvuto wangu unagharimu maisha yangu.

Ahsanteni
 
Kaka fukuza hiyo roho ya kujiona na mvuto sijui mzuri haraka sana! Kwa mwanaume hupaswi kabisa kuwaza hivyo, kabisa!

Na bahati mbaya hormones zimeanza kufanya yake sasa, mzee hasimami. Aisee angalia mdogo wangu, kesho utaanza kujisikia hamu zingine. Kataa hiyo hali kwa nguvu zote kukingali mapema!

Ni ushauri tu
 
Kafie mbele na wivu wakike kama huna mvuto watoto wakike hata ukitongoza kwa mkwanja hawakuelewi usidhani kila mtu nihibo mzee binadamu hatufanani kila mtu na nyota yake....
We tulia n anuksi zako za ushoga
Ofkoz binadamu hatufanani, mimi na wewe hatufanani kamwe maana mimi pipe yangu inasimama hasa! Utafananaje na mimi wewe ambae hata ukitumia viagra bado haisimami?

Baki na mvuto wako.
 
Ni Mara Chache Sana Kukuta Mwanaume mwenye Sura Nzuri Ni Straight Wengi Huwa Mahanithi kama Huyu Jamaa

Dalili Za Uhanithi Ziko Wazi Ikiwa pamoja Na

-Uzuri Ulipitiliza Kwa Mwanaume
-Kutoota Ndevu/siyo kwa wote
IMG_20170911_121852.jpg
IMG_20170911_121845.jpg


IMG_20170911_121852.jpg
IMG_20170911_121845.jpg

-
 
Back
Top Bottom