Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

lol! wee una hatari sana...nimeshakuwa target yako...majina yote hapa JF hukuyaona au hata ya kusadikika ila ukaliona la BAK tu!!! Haya bana "liwalo na liwe"...nisalimie kichanga.


BAK siku nyingi sijakuona ma dearest brother, and me saying so it means that your are man enough to drive Catherine and any other woman crazy in every way. kichanga hajambo
 
Last edited by a moderator:
Muonekano kuanzia juu hadi chini hii inahusisha pia mavazi ya kimahaba, titi la saa sita, umbo namba 8, mguu wa bia. Vingine malizia...

umesema vizuri sana mkuu lakin je ina maana mvuto umekaa kwenye muonekano wa nje tu?
 

haya sitomuuliza ingawa nilishamuuliza siku nyingi sana so majibu yake ninayo. sasa platozoom si mwanzo umekubaliana na mimi kuwa mvuto huwasha tamaa ya kufanya matusi?? sasa je unapoitofautisha mbona wazidi kunichanganya zaid? nieleweshe please.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ngoja nifunguke zaidi, pamoja na mambo mengi ambayo wadau wameyaongea pia mvuto unaweza kuja bila hata ya kumuona muhusika. Yani hata kwa kusikia jinsi anavyoongea unaweza vutiwa mpaka ukapata hamasa ya kufanya matusi! Mfano hapa JF kuna mdada mmoja ananikosha kwa jinsi anavyochangia, ngoja nimvutie kasi!
 

ahsante sana kaka yangu wa moyoni mito lakin je hivi umeshawah kukutana na binti wa kike from no where akakuvutia sana na kabla hata hujasema naye ghafla na mwanaume mwingine maeneo hayo hayo akatamka kwa nguvu binti kanivuti? kama ndiyo mazingira kama hayo nini hupelekea? manake mimi kuna maali nimemuuliza Catherine kama kwa mfano kakutana na BAK na ni mwanaume mzuri ambaye mwanamke yeyote anaweza kuvutiwa naye pasi hata kuingia naye kwa bed nini kitakacho mvutia cha kwanza. nafikir amejibu vizuri hebu msome halafu unipe na wewe majibu yako.
 
Last edited by a moderator:

aisee Nawaza hapa sasa naona shule yangu inazidi kukolea na napenda zaid wachangiaji wasome btn lines ili waone mambo ya msingi uliyoyataja hapa. kwanza hongera wa kuwa mwelimishaji mzuri.

haya tuendelee from your post inamaana mvuto kwa mtu huwa siyo endelevu? na je kama siyo huoni kama kuna hatari ya mahusianao kuvunjika? hapa pana kitu cha msingi sana wana mmu na nafikir ndicho kinachopunguza hisia za mapenzi katika mahusiano tuliyo nayo.
Please nawaomba akina cartura Allien BAK Kaizer mito Bishanga Mr Rocky na wengine wote watusaidie hapa kufafanua
 
Last edited by a moderator:
yes, hadi kufikia kugombaniwa na wanaume. Ila kiukweli, huyo mwanamke anakuwa na kitu kinachowavutia wanaume i.e anadeal na issues sio watu, anawazidi kitu wanaume (akili, pesa, cheo)

lakini bidada huku kugombaniwa hakuwez kuwa kuna sababisbhwa na urahisi tu wa mwanamke mwenyewe? au na wenyewe ni sababu ya mvuto usiojulikana kama ulivyosema?
 
kwa mtazamo wangu, tumeangalia hili suala kwa kuchukulia 'basic instincts' zaidi (one-night-stand kinda thing)...katika hali ya kawaida, na as a preliminary stage, unaweza kuvutiwa na mwamamke kwa sababu ana physical features, standard of behaviour, reasoning capacity etc unazotamani mwanamke awe nazo...
sasa kaka yangu wa moyoni cartura umenifundisha jambo hapa ila hebu niambie mvuto huu wa mwanamke huweza kuisha ama ni kitu endelevu katika maisha?
 
Last edited by a moderator:
Aaaha dada yangu gfsonwin naona aibu kuchangia hapo kwa red.
Ngoja nisome comments za wengine kwanza

lol.......! sasa waogopa nini kaka yangu? hapa tunaelimishana tu ili tudumishe mapenzi yetu, manake hakuna ajuaye sana na kila siku napenda kujifunza zaid.
 
Umenikumbusha,jana tu nilikutana na dada mmoja,wacha kabisa.Yaani niliduwaa utadhani wale waliokua wanachorwa kwenye yale majarida ya enzi zileeee,majarida ya Bongo!

haya mdogo wangu wa moyoni Eiyer kwanza hujambo? haya nieleze alikuvutia nini huyo mrembo wa moyo wako? ama uliogopa hata kumsemesha?
 
Last edited by a moderator:

sasa umeona Catherine kumbe mvuto huwa haujali sana mapigo ya bed manake kwa mara ya kwanza unapokutana na mtu hutawaza kitandani yukoje bali utawaza anaonekanaje huyu machoni pangu.
 
Last edited by a moderator:
Kongosho sasa na wewe ndo unazidi kunipa maswali mengi sana, kumbe tabia nazo ni compliment ya mvuto? sasa kama ndivyo mbona kuna mwanamke unakuta labda kila siku anaandamwa na stori mbaya na chafu lakin kila siku anatakwa na mwanaume tofauti? na yeye ukiangalia utakuta hajawah kuish bila mpenzi yaani kuwa na boy friend hata miez miwili baada ya mahusianao aliyokuwa nayo kuvunjika?
 
Last edited by a moderator:

hiyo nayo kali mkuu yaani mtu anakuvutia pasi hata kumuona wala kusikia sauti yake? sasa kama maandish tu ya keybord yanakufanya uvutiwe na mtu si utakuwa moyoni umeshazini na wengi sana? lazima huyo atakuwa ni Erotica tu ama ni cacico?
 
Last edited by a moderator:
haya mdogo wangu wa moyoni Eiyer kwanza hujambo? haya nieleze alikuvutia nini huyo mrembo wa moyo wako? ama uliogopa hata kumsemesha?

Kwanza niweke wazi,nimechangia kwa namna hiyo kutokana na kauli yako ya "mtu anaekuvutia kufanya matusi"
 
Last edited by a moderator:
Kwanza niweke wazi,nimechangia kwa namna hiyo kutokana na kauli yako ya "mtu anaekuvutia kufanya matusi"

na mimi nimeendelea kuuliza ili nijue kama kwa maana hiyo ulimsemesha? lakina lets go further hivi waamin kuwa mvuto wa mara ya kwanza waweza leta hisia kali za mapenzi ambazo hupelekea kuwa wenzi milele?
 
Ngoja nifafanue vizuri zaidi,kuna tofauti kati ya mtu kukuvutia kufanya matusi,mtu kukuvutia kimapenzi na kumpenda mtu.KUVUTIA KUFANYA MATU:hii ni kumtamani mtu,yaani unamuangalia mtu na unapata hisia za ngono na sio mapenzi wala upendo.Hisia za ngono ni kuwa unapomuona mtu wa aina hiyo unamuwazia namna utakavyomkamata na kumkunja kitandani na style nyingine,hapa ni ngono tu.KUMVUTIA MTU KIMAPENZI:hali hii inatokea pale unapopata hisia za mapenzi kwa maana kuwa,unakuwa na mawazo ya kutoka outing nae,kufanya nae ngono,kumnunulia zawadi,kuzungumza nae,kwenda nae sijui mnaita vekesheni n.k,hapa kunaweza kusiwe na upendo.MTU KUWA NA HISIA ZA UPENDO:hii haina uhusiano na ngono,lakini linaweza kuwa na uhusaiano na mapenzi.Mtu kuwa na hisia za upendo inamuhusu kila mwanadamu kwa mwanadamu yoyote bila kujali jinsia.Kupendana ni muhimu kwa mwanadamu yoyote kwa yoyote ili kuleta umoja na furaha katika jamii.Kumbuka ili uwe na ndoa imara ni lazima ujue hayo!
 
na mimi nimeendelea kuuliza ili nijue kama kwa maana hiyo ulimsemesha? lakina lets go further hivi waamin kuwa mvuto wa mara ya kwanza waweza leta hisia kali za mapenzi ambazo hupelekea kuwa wenzi milele?

No sikumsemesha,nilimwangalia tu!
 
Umenikumbusha,jana tu nilikutana na dada mmoja,wacha kabisa.Yaani niliduwaa utadhani wale waliokua wanachorwa kwenye yale majarida ya enzi zileeee,majarida ya Bongo!

Wewe! I am watching!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…