Wema Sepetu na Jockate ni wazuri, Flaviana Matata ana mvuto sio mzuri kivile. Lisa Jensen ni mzuriiiiiiii mno, ila ajabu mvuto wake sio mkali kama Jockate na hali ni mzuri kuliko Jockate. umeona mamito? Ila sorry to say mimi ni mzuri mno na nina mvuto mno. hadi najionea huruma. teh teh
BAK hivi hujawahi kusikia mtaani watu wanasema fulani ana damu ya kupendwa??simply because anapendwa na kila mtu sio kwa uzuri wake, wala umbo lake bali imetokea tu akawa kivutio cha wengi!mvuto is more about hisia,hauonekani wala haushikiki..wakati mwingine unaeza ona mtu ni wa kawaida sana lakini anavutia wengi kuliko yule anayeonekana mzuri..
Hilo lipo Purple...lakini je unazungumzia kupendwa kama alivyoandika gfsonwin (kupendwa kwa nia ya kufanya matusi)...unaweza kupendwa mtaani kwa heshima uliyokuwa nayo kwa wakubwa wako, kwa ukarimu, kwa kuwajali majirani zako n.k. lakini kupendwa huko kusihusiane kabisa na matamanio ya kufanya matusi.
Ngoja nisimame kwenye viatu vyangu halafu nikujibu: Kwanza ni vigumu kupata jibu linaloshikika kwa sababu moja nitakayoileza......
Ni hivi inatokea navutiwa na mwanamke fulani tumwite B kutokana na anavyo-behave (anaongea kwa adabu nazozipenda) lakini wakati huohuo sivutiwi na mwanamke X mwenye tabia hiyohiyo!!
Kuna mwanamke mwenye figure nzuri sana (ya bantu-nilotic) nayoipenda.. navutiwa naye lakini wakati huohuo nakutana na mwenye the same figure lakini anaongea hovyo...siwezi kuvutiwa naye n.k...Na hili siiamrishi ila ni nguvu toka ndani nsiyoweza kuizuia
Sasa inawezekana wenye hulka kama yangu wapo kwa hiyo sote tutaonekana tunavutiwa na aina hiyo ya mwanamke.....Ingawa watakuja wengine na mtazamo tofauti kabisa, na wao wana wanaofanana nao.
Muhimu kumbuka mvuto hauanzii nje ya mtu ..inaaanzia ndani ya 'moyo' ni hisia ambazo huwezi kuzitengeneza bali zinajijenga!
Erotica mimi basi sijui nikoje to me wema siyo mzuri kama jokate ila she is worthy sexy than Jokate. na ndio maana she can draw mens attention than lakin pia jackline wolper ni mzuri sana sana but hana mvuto kama alivyo fideline Iranga. tuachanae nao hao turudi kwenye point ya msingi sasa hapa hivi mwanamke aweza kutengeneza mvuto?Wema Sepetu na Jockate ni wazuri, Flaviana Matata ana mvuto sio mzuri kivile.
Lisa Jensen ni mzuriiiiiiii mno, ila ajabu mvuto wake sio mkali kama
Jockate na hali ni mzuri kuliko Jockate. umeona mamito?
Ila sorry to say mimi ni mzuri mno na nina mvuto mno. hadi najionea huruma. teh teh
kusema kweli hata mie hua najiuliza sana hili swali, sidhani kama mvuto unaonekana?!?bali mvuto unahisiwa (utanisahihisha if am wrong)yani ukimuona mtu unajihisi kuvutiwa nae sometimes bila hata kujua sababu..
haya platozoom sasa hapa tunakwenda sawa kwamba mvuto huleta hisia na hzi huweza kuwa common ama siyo common. lakin mfano wewe ukikutana na mwanamke mwenye mvuto say kama mimi gfsonwin halafu mvuto wake uko kwenye manners zaid like ninavyoongea( sauti), kula, kuangalia nk ila kwa umbo na sura ukakutana na Erotica mwenye umbo la kilatino ambalo ukilivutia hisia kwa bed ni tamu kuliko hili la gfsonwin ambalo ni la kibantu zaid. je hapo wewe binafsi utavutiwa na yupi?
Wapenzi wana mmu habari za week end?
Jamani leo nimekuja na hili hapa nimelipata mitaa ya kati nikaona nililete hapa tujadili pamoja.
Hivi jamani kuna mwanamke mwenye mvuto tu ambaye kila mwanaume rijali akimuona huvutiwa kumsemesha? je mvuto huu hupelekea kuwasha tamaa ya kufanya matusi na mwanamke husika? Je mvuto huu kwenu wakaka huwa unaangalia vitu gani kwa muonekano wa mara ya kwanza?
Tricky...........Inatokea tu gfsonwin....wala haina formula maalum nakwambia:
1. Anaweza kuwa mwanamke mwenye sura nzuri (usoni)
2. Anaweza kuwa na umbo zuri (la kibantu) au 8 figure.......na nikwambie wengi wanapenda (soma kutamani) maumbo
hayo..kuna fikra kuwa anafaa kwenye matusi
3. Mwenye sura ya kawaida kabisa ila ana adabu na hana mahusiano na mwanaume yeyote..wengi huvutiwa naye kila mmoja akitamani kuanza yeye...kuna mvuto kama wa sumaku hapa na tafrani lake si kidogo.
4. Kuna wanaume waharibifu ambao ni wengi sana zama hizi usione wanamfuatilia fulani, ni kwa sababu hawajampitia..kwa hiyo kwa haraka unaweza kudhani anapendwa sana.
5. Mwingine ana mvuto tu hakuna maelezo ya uhakika kwa nini anavutia watu...........anapendwa tu, na wengi wanamtamani hata ukiwauliza hawakupi sababu ya msingi kama ambavyo mzazi anampenda mtoto wake fulani hata kama ana tabia mbaya sana.
Tricky...........
5. Mwingine ana mvuto tu hakuna maelezo ya uhakika kwa nini anavutia watu...........anapendwa tu, na wengi wanamtamani hata ukiwauliza hawakupi sababu ya msingi .
kuna mwanamke mwenye mvuto tu ambaye kila mwanaume rijali akimuona huvutiwa kumsemesha? je mvuto huu hupelekea kuwasha tamaa ya kufanya matusi na mwanamke husika? Je mvuto huu kwenu wakaka huwa unaangalia vitu gani kwa muonekano wa mara ya kwanza?