Kweli kabisa, kuna wanawake wanamvuto kabisa ,kila mwnaume ana tamani kuwa nae! Sikuwa nae tu bali ata kufanya nae mapenzi.
Unajua kila mtu ana vigezo vyako kwangu mimi ni reception kwanza na umbo!
Ila mchezo mbaya sipendi!
BAK sasa hapa ndipo ninapopata swali jingine tena hivi kwani mvuto ni uzuri?Kuna wanawake ni wazuri banaa ukiangalia sura, umbo la kukata na shoka, miguu iliyoshiba na wowowo la hali ya juu. Akiwa anatembea basi utapenda aendelee kutembea tu huku ukiendelea kuadmire kazi ya Muumba wetu, halafu kama anajua miondoko ya madaha basi ndio unabaki hoi bin taabani.
hamic mussa wala siyo kali rafiki, sema basi jinsi ujuavyo wewe?duh! Ya leo kali.
platozoom hii ya kwako sasa inachanganya kaka kwani uzuri wa mtu ndio mvuto wake? na je kwani kinachomshawishi mtu kutongoza ni mvuto?Tricky...........Inatokea tu gfsonwin....wala haina formula maalum nakwambia:
1. Anaweza kuwa mwanamke mwenye sura nzuri (usoni)
2. Anaweza kuwa na umbo zuri (la kibantu) au 8 figure.......na nikwambie wengi wanapenda (soma kutamani) maumbo
hayo..kuna fikra kuwa anafaa kwenye matusi
3. Mwenye sura ya kawaida kabisa ila ana adabu na hana mahusiano na mwanaume yeyote..wengi huvutiwa naye kila mmoja akitamani kuanza yeye...kuna mvuto kama wa sumaku hapa na tafrani lake si kidogo.
4. Kuna wanaume waharibifu ambao ni wengi sana zama hizi usione wanamfuatilia fulani, ni kwa sababu hawajampitia..kwa hiyo kwa haraka unaweza kudhani anapendwa sana.
5. Mwingine ana mvuto tu hakuna maelezo ya uhakika kwa nini anavutia watu...........anapendwa tu, na wengi wanamtamani hata ukiwauliza hawakupi sababu ya msingi kama ambavyo mzazi anampenda mtoto wake fulani hata kama ana tabia mbaya sana.
hivi BAK hujawah kuona mtu mwanamke mzuri sana wa sura na umbo lakin hapati mwanaume wa hata kumsalimia tu? je huyu kwake synonymous inakuwa wapi?
gfsonwin umemuona huyu dada? sio mzuri sana, ila ana mvuto na anatia raha kumuangalia,
acha tu wanaume, hata mimi mwanamke mwenzie natamani ni dou nae licha ya kumtazama tu.
haijalishi mvuto ama uzuri ni wakununua or not. wat matters ni kuwa ana mvuto. na kama ana
mvuto wa kutosheleza na mwanaume rijali akamtazama machoni he wishes apate nafai ya kuonja K,
sio lazima kuishi nae, yaani mradi agusishe na aondoke zake. kama vile kupoza kiu ya maji.
platozoom hii ya kwako sasa inachanganya kaka kwani uzuri wa mtu ndio mvuto wake? na je kwani kinachomshawishi mtu kutongoza ni mvuto?
gfsonwin;
Law of Relativity.
If you sit with a nice girl for two hours, you think its only a minute. But when you sit on a hot stove for a second you think its two hours. Hisia ni kitu cha ajabu sana huwezi eleza kwa maandiko. Kama wengine wakiangalia kinyago wanaona uzuri ambao wengine hawauoni.