Mvutano wa madiwani pangani

Mvutano wa madiwani pangani

charityboy

Senior Member
Joined
Nov 11, 2010
Posts
138
Reaction score
4
Tunamuomba mhe. SALEHE PAMBA avunje makundi kati ya madiwani ktk halmashauri ya wilaya pangani ili kuleta maendeleo. Wananchi wanamatumaini makubwa ingawa hakupata uwaziri kama wengi tulivyotarajia.
 
Mawazo ngando.

Kwa uwaziri ungewasaidia nini wanannchi?
 
Back
Top Bottom