Mvutano wa madaktari na serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvutano wa madaktari na serikali

Discussion in 'JF Doctor' started by MSIPI, Feb 1, 2012.

 1. M

  MSIPI Member

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wanajamii! Nimefuatilia kwa kina mgogoro unaoendelea kati ya Serikali kwa upande mmoja na Madaktari kwa upande mwigine. Ukweli inasikitisha sana kuona kwamba dhani ya uzalendo imetoweka kabisa kwa pande zote mbili zinazokinzana,viongozi wa serikali wamekosa uzalendo na watumishi wa serikali madaktari nao wamekosa uzalendo. Nchi hii ni yetu sote na raia wanahitaji huduma kutoka serikalini sasa kama kuna dhana ya dhati iliyobebwa na uzalendo ndani yake suala hili lisingefikia hapa lilipofika kwani ufumbuzi ungekwishapatikana muda mrefu. Wizara ya Afya na watendaji wake kama kweli wapo makini walipaswa kulitafutia utatuzi suala hili na Madaktari kwa upande wao pamoja na madai yao ya msingi wanapaswa kuwa na subira.

  Kwa hiyo kukosekana kwa uzalendo ndo kiini cha matatizo yote haya. Chende chonde viongozi wa serkali na Madaktari tunaomba mtambue uzalendo katika kuwatumikia wananchi (uma wa Watanzania masikini).

  Ahsanteni.
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  mkuu, kama unauwezo wa kutumia akili, na hiyo akili ina ubora wa elimu, unapaswa kuihoji serikali, 'wapi huduma bora za afya' ukijaribu kwa namna yoyote kuomba huruma/uzalendo wa madactari, utakuwa unaoga bila kuvua nguo!!!!!
   
 3. m

  meglo New Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 1, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jukumu la kuhakikisha raia wanakuwa na afya bora ni la serikali,kwa maana hiyo basi uzalendo uonyeshwe na serikali kwa kuwasikiliza madaktari then madaktari wakishindwa kutimiza wajibu wao baada ya kutimiziwa wanayodai ndo tuwandai uzalendo.
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mtu yoyote atakayehoji uzalendo wa drs lazma ana matatizo makubwa sana
   
 5. b

  bogota the king Member

  #5
  Feb 3, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Dhana ya uzalendo inatafsiriwa vibaya! Uzalendo sio kulala na njaa, sio kufanya kazi mazingira na sio kuona serikali inashift priority za tiba! Sasa tutapeleka india wagonjwa wa malaria! This is the time! Or never get the systzem change!
   
Loading...