Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
...unaweza kuwa uliishaisikia lakini si vibaya kukumbushia.
Muuzaji: Samahani kaka hairuhusiwi kuvuta sigara hapa dukani.
Mteja: Nikavutie wapi?...mbona sigara nimenunua hapahapa?
Muuzaji: niikikuuzia condom uta....mbea hapahapa dukani???
Mteja: Teh teh teh...Ahsante nimekuelewa
Muuzaji:***** we...usirudie upuuzi wako