Kuna msela 1 aikuwa geto anavuta Bangi, mara baada ya bangi kumkolea ghafla Akamuona mtu kamsimamia mbele yake. Kwa hofu Msela akauliza;
Msela: Nani wewe?
Akajibiwa mimi ni Malaika mtowa Roho,
Msela: ah umenishituwa kichizi nilifikiri Polisi bwana. Poa mshikaji...... Cool