Mvuta bangi achanganyikiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mvuta bangi achanganyikiwa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mwiba, Sep 3, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Kuna jamaa alikuwa kashakolea bangi yake ndani ya Mwezi huu wa Ramadhani. Akipita katika safari zake, akatokezea msikitini pana darsa baada ya sala ya Alasiri. Akamsikia Sheikh anasema, "Kila unaposema Subhanna Llah, basi unapandiwa bustani peponi". Jamaa kusikia hivyo, akauliza, "Sheikh sasa ukizisoma sana si itakuwa kwanza kichaka halafu itakuwa pori?" Jamaa wote msikitini wakawa hoi bin taaban unaambiwa hata mtoa darsa nae ilibidi aombe maji ya kunywa ,ila akakumbushwa kuwa ni mwezi wa funga, :D Ramadhan Kareem
   
 2. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mamaaaa, mbavu zangu!
   
 3. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2009
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Acha uzushi mkubwa watakukimbiza hao jamaa,hawanaga maskhara!
   
Loading...