Kila simu nilikuwa najiuliza ayakufa lini? Bundiki zake zinaua mamilioni ya Waafrika kila mwaka
walimaanisha nini? sikuijua hii
View attachment 128403
its not too late, anaweza kutokea mtu akatandika jeneza lake na maiti yake hata risasi mia sio mbayaBora na yeye amekufa tena angetokea mtu amtandike na hiyo AK 47 afe ingekuwa vizuri sana
mathabane hata asingegundua bado watu wangeuana kwa silaha na mbinu nyingine.kumbuka hata maandiko ya dini yanasimulia uwepo wa silaha na mapigano mbalimbaliHakuna mwenye akili timamu awezaye kumliumu Kalashnikov kwa ugunduzi wake. kama aligundua silaha kwa minajili ya kujihami, sio haki kuhusishanisa matumizi mabaya ya ugunduzi wake na dhamira yake nyeupe. Kwa mtu yoyote mwenye elimu au utaalamu na silaha za kati bilashaka atakubaliana nami kuwa AK-47 ni bunduki bora zaidi katika kuhimili mazingira mbalimbali katika mapambano dhidi ya adui.
Avtomat Kalashnikova(AK-47)
mathabane hata asingegundua bado watu wangeuana kwa silaha na mbinu nyingine.kumbuka hata maandiko ya dini yanasimulia uwepo wa silaha na mapigano mbalimbali