Kuna mvuke wamoto na mvuke wabaridi..Sijakuelewa
I don't know yet wajuzi watujuze zaidiunafikiri inaweza kuleta ujumbe gani ktk maisha..?
Dhana ni nini na msingi ninini?Kuna mvuke wamoto na mvuke wabaridi..
Yote ni mvuke lkn ktk dhana mbili tofauti!
Kunaweza kukawa na system mbili tofauti lkn matokeo yake ni moja..
Nafikiri umeshawahi kutumia fridge na kuchemsha maji..
Kuna maskini na tajiri lkn hawa wote ni binadamu..(dhana moja ktk misingi miwili). Nafikiri umeelewa sasa
kwa uelewa wangu neno DHANA ni neno linalotumika kuelezea kitu/jambo/wazo ama jambo/wazo/kitu cha kufikirika ila tu inategemea na kinachojadiliwa. au hata mda mwengine hutumika kuelezea kifaa mf.. humo stoo kuna dhana zangu za kulimia.Dhana ni nini na msingi ninini?
kumbe ndio hivyoKuna mvuke wamoto na mvuke wabaridi..
Yote ni mvuke lkn ktk dhana mbili tofauti!
Kunaweza kukawa na system mbili tofauti lkn matokeo yake ni moja..
Nafikiri umeshawahi kutumia fridge na kuchemsha maji..
Kuna maskini na tajiri lkn hawa wote ni binadamu..(dhana moja ktk misingi miwili). Nafikiri umeelewa sasa
yeahndo umekijua au..?
Mafua kifua au homa huondoka hata mtoto akiwa na mafua makali na kichwa kuumwa ukachemsha maji na kuelekeza mvuke kwake anapata nafuuBibi yangu zaman alikuwa akiumwa anajifunika na nguo nzito na maji aliyochemsha kwenye chungu then ule mvuke unamfikia uson. Sasa sikujua ni tiba gani ile mpaka leo