Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,433
- 139,497
kama (anajilika) sawa.laki hajulika.right.Mbona anajilikana tu
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh, mkuu yupi huyo tupatie angalau kwa initial zakeMpaka navyoandika bado jina la mteule Katibu Mkuu wa Chadema halijafuja popote.Magazeti Mawakala ya CCM yamejaribu kuchokonoa bila mafanikio.Mpaka jeshi la Makamanda linatua jijini Mwanza nchi imebaki na shauku kubwa ya kutaka kumjua mtendaji mkuu wa chama chao.Nidhamu na kuaminiana vimetawala kipindi chote cha mchakato. Je,yule bwana aliyekuwa hodari wa kuvujisha siri za chama ni "marehemu"?.Yule aliyekuwa akileta barua za chama mitandaoni.Yule aliyekuwa anaripoti CCM.
Yupi huyo mkuu?Mbona anajilikana tu
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeehchama cha kigoma nini?hawezi tena huyo kwisha habari zake.atuwezi kuishi kwa ndumila kuwili mtoto kama mwanamke wa salon.
swissme
Sasa hapo ndo ujue tofauti ya Kati ya ccm Na chadema hivi mnakumbuka Yale majina ya Kikwete ya tano bora mswahili aliya tweet Ata kabla ya muda kufika ahaa ahaa.
Ww[/QUOTE]Mkuu weka hapa hiyo Meseji ya twitter!
UOTE="bily, post: 15532111, member: 78753"]Sasa hapo ndo ujue tofauti ya Kati ya ccm Na chadema hivi mnakumbuka Yale majina ya Kikwete ya tano bora mswahili aliya tweet Ata kabla ya muda kufika ahaa ahaa.
Cc mcubicAlikuwa Chombo Tumwa = ACT