Hakuna kona wala nini...huyu Mugabe hasitahili heshima yoyote yaushujaa...ni muuaji na mtu mwenye tamaa ya madaraka na mali kupindukia!Uzalendo is multifactorial mkuu,inategemea Kona uliyopo.
Ni dikteta tuu kama hawa tuliokua nao hivi sasaHakuna kona wala nini...huyu Mugabe hasitahili heshima yoyote yaushujaa...ni muuaji na mtu mwenye tamaa ya madaraka na mali kupindukia!
Poa mkuu,wewe si ndo uliyewatoa mabeberu pale,basi we ndo mzalendo.Hakuna kona wala nini...huyu Mugabe hasitahili heshima yoyote yaushujaa...ni muuaji na mtu mwenye tamaa ya madaraka na mali kupindukia!
Mzee Mandela mbona alifanikiwa kuutoa utawala wa Makaburu lakini hakuwahi kuwaua wapinzani wa ANC baada ya hapo. kwa nini Mugabe aliwaua Wandebele? anastahili heshima ya kupepeza bendera nusu mlingoti huyu?Poa mkuu,wewe si ndo uliyewatoa mabeberu pale,basi we ndo mzalendo.
Mkuu ni kweli watawala weusi walifanya maovu makubwa ya kuuwa waafrika wenzao ,hata kuliko mkoloni.Madhambi ya Mugabe yanafunikwa na viongozi wa kiafrika waliopo madarakani kwa sasa kwa kuwa mikono yao wote imejaa damu za wapinzani. Pamoja na hayo, sisi tunayoijua historia yaliyoandikwa kwenye mioyo yetu ambayo haitakaa ifutike.
Hata Magufuli, matendo yake dhidi ya wapinzani na wanaharakati yanajulikana mchana kweupe. Vikundi anavyovilea vya kuendesha mauaji na vitisho vitamwandama hata katika KIFO.
Waafrika ni lazima tufike mahali tuwe wa kwanza kuongea ukweli, hata kama unauma. Haiwezekani eti kiongozi mmoja asifiwe tu, hata Nyerere ni lazima aandikwe, asemwe, na ajadiliwe law uwazi kabisa bila kuzidisha propaganda wala kumwonea kwa yale yote aliyofanya.
Kadiri tunavyozika ukweli na kuimba mapambio ya sifa ndipo tunavyodidimiza hadhi ya uafrika wetu. Mwafrika atazidi kuonekana haja-evolve kuwa binadamu kamili bado.
Ukiona unahitaji kona ili uzalendo wako uonekane inakuhitaji kujitafakari na matendo yako.Uzalendo is multifactorial mkuu,inategemea Kona uliyopo.
Kuwatoa mabeberu siyo uzalendo, unawatoa ili upore vizuri mali ya nchi, Acheni ujingaPoa mkuu,wewe si ndo uliyewatoa mabeberu pale,basi we ndo mzalendo.
Magufuli is a serial killerMadhambi ya Mugabe yanafunikwa na viongozi wa kiafrika waliopo madarakani kwa sasa kwa kuwa mikono yao wote imejaa damu za wapinzani. Pamoja na hayo, sisi tunayoijua historia yaliyoandikwa kwenye mioyo yetu ambayo haitakaa ifutike.
Hata Magufuli, matendo yake dhidi ya wapinzani na wanaharakati yanajulikana mchana kweupe. Vikundi anavyovilea vya kuendesha mauaji na vitisho vitamwandama hata katika KIFO.
Waafrika ni lazima tufike mahali tuwe wa kwanza kuongea ukweli, hata kama unauma. Haiwezekani eti kiongozi mmoja asifiwe tu, hata Nyerere ni lazima aandikwe, asemwe, na ajadiliwe law uwazi kabisa bila kuzidisha propaganda wala kumwonea kwa yale yote aliyofanya.
Kadiri tunavyozika ukweli na kuimba mapambio ya sifa ndipo tunavyodidimiza hadhi ya uafrika wetu. Mwafrika atazidi kuonekana haja-evolve kuwa binadamu kamili bado.
Basi ngoja tusubiri yule wa Belgium akufe ndo tupate mshujaa wa kwanza Afrika.Hakuna kona wala nini...huyu Mugabe hasitahili heshima yoyote yaushujaa...ni muuaji na mtu mwenye tamaa ya madaraka na mali kupindukia!
Wengi wao ni vilaza.Viongozi wa kiafrika walio wengi ni hasara tupu, kazi ni uuaji na ufisadi tu ndio wanaiweza.
Speaker louder chiefMagufuli is a serial killer