Mvua yasababisha maafa Dar

Nashauri mbunge wa kinondoni aende mahakamani kupinga ujio wa mvua hii.
 
Kuna wengine wanapinga kuondolewa wanasema wapo kitambo tangu 1985.Miaka hiyo Dar si ilikuwa bado haijachangamka?hivi kulikuwa na umuhimu wa kujenga mabondeni miaka hiyo kwa mji kama Dar?siyo wavamizi wa mabonde hao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…