Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,643
Nashauri mbunge wa kinondoni aende mahakamani kupinga ujio wa mvua hii.
Subiri waje kwa makundi ha haaaDawa chochote kitakachowakuta serikali ikae kimya maana vichwa vyao ni vigumu vichwa vyao hawana totauti na nyumbu Wa ukawa
hivi dar ni mji au bakuli,maana hili si eneo kubwa sana.![]()
Picha sio ya tukio la mvua za wiki hii.......
Tutaenda Mahakamani Kuzuia Mvua Msijali,pipoooz