iaseee hata mkata zimenyesha mvua nyeusi balsa na Tafu usiku kucha juzi nadhani kuna ishu ya moshi toka AustraliaHuo mguu sasa🤣🤣🤣🤣
Kwa ujumla hiyo mvua ipo sehemu nyingi kuanzia jana, wengine wakahisi labda kuna moshi angani huku maeneo yetu.
Inawezekana inatokona na moshi wa ule moto mkubwa uliokumba Australia siku za karibu
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]ama kweli Wazazi hawakupoteza ada hapa.
We usinambie 😀 sasa dawa yake n nini? Yan hapa tuko na mafua ya hatari na vichupa vya dawa tushamaliza😣😣 kupona hata hatuponiMaji ya mvua ukitaka kujua hayapo vizur kunywa uone utapata mafua sio ya nchi hii mixer koo kuwasha
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya kuleta nafuu ni tangawizi +ndimu + asali, kwangua tangawizi mbichi weka ndimu au limao alafu tia na asali kamua utapata maji maji flan hiv kunywa kijiko asubuh mchan jioniWe usinambie [emoji3] sasa dawa yake n nini? Yan hapa tuko na mafua ya hatari na vichupa vya dawa tushamaliza[emoji21][emoji21] kupona hata hatuponi
World waits for DUST rain.Natabiri mambo makubwa sana kutokea maeneo hii mvua itapitia. Huu ni mguu wa malaika akipita kuwaambia kuwa jiwekeni tiyari kwani yu aja. Je, umetubia uoavu wako?? Tubu leo hii
Ndio hivyo hivyo hukukosea, MkuuHuo mguu sasa🤣🤣🤣🤣
Kwa ujumla hiyo mvua ipo sehemu nyingi kuanzia jana, wengine wakahisi labda kuna moshi angani huku maeneo yetu.
Inawezekana inatokona na moshi wa ule moto mkubwa uliokumba Australia siku za karibu
Mama kanambia hii kitu pia ila sijafanya maana sipendi asali, uwa inanichefua. But nitajaribu hata kwa siku moja, LolDawa ya kuleta nafuu ni tangawizi +ndimu + asali, kwangua tangawizi mbichi weka ndimu au limao alafu tia na asali kamua utapata maji maji flan hiv kunywa kijiko asubuh mchan jioni
Sent using Jamii Forums mobile app