MVUA YA MAAJABU YANYESHA GAIRO
Habari za kushangaza mvua ya ajabu imenyesha Gairo na maeneo jirani kama Kibaigwa, Mlali na maeneo mengine.
Mvua hiyo iliyonyesha siku mbili mfululizo imekuwa ikitoa maji meusi kama yameoshewa mkaa haijawahi kutokea maeneo haya na inasemekana imenysesha maeneo mengi ya nchi.
Je, mvua hii inaashiria nini na wewe ushawahi iona hii, wanasayansi mvua hii inamaanisha kitu gani? Na je watu wa imani mvua hii inamaanisha nini?
Natabiri mambo makubwa sana kutokea maeneo hii mvua itapitia. Huu ni mguu wa malaika akipita kuwaambia kuwa jiwekeni tiyari kwani yu aja. Je, umetubia uoavu wako?? Tubu leo hii
1. “Black rain” The Hiroshima and Nagasaki explosions yielded some 200 different kinds of radioactive isotopes, that is, nuclear fission particles of uranium and plutonium that escaped fission. ... This “black rain” reached ground level as sticky, dark, dangerously radioactive water