Kw hapa Dar mvua hatuihitaji.
1. Miundombinu ni mibovi hakuna mfano, miaka 60 ya ccm hakuna miundombinu ya kueleweka, mipango miji mibovu hakuna mfano.
2. Hapa Dar hatulimi, mvua inyeshe kidogo ikanyeshe huko mkoani ambako shughuli kubwa za kiuchumi ni kilimo.
Mvua kunyesha hapa Dar ni imekosa kazi na tuseme imepotea njia, itafte sehemu ya kwenda kunyesha. Anaeileta hii mvua hapa Dar hajafikiria vizuri.