Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 720
Usiseme nchi nzima kuna sehem mvua inanyesha hasa songea mvua inanyesha kubwa tuJamani naomba tuangalie hili swala la mvua kunyesha na kutoweka ghafla nchini kote.
Wiki moja na nusu iliyopita mvua ilipiga sana karibu nchi nzima.Sasahv imetoweka tena. joto kali, mazao yanakauka.
Haya mabadiliko ya tabia ya nchi n hatari
Ethiopiaamerudii
Na kusafiri hapendi, mbona tunalo mkuu.amerudii
Weeee Sky weeeeee, ooohhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhNa kusafiri hapendi, mbona tunalo mkuu.
Kwa hiyo wwe upo nchi nzima?Jamani naomba tuangalie hili swala la mvua kunyesha na kutoweka ghafla nchini kote.
Wiki moja na nusu iliyopita mvua ilipiga sana karibu nchi nzima.Sasahv imetoweka tena. joto kali, mazao yanakauka.
Haya mabadiliko ya tabia ya nchi n hatari