Mvua kubwa yaja

Inaandikwa TAHADHARI na siyo taadhari!
 
Shukran kwa taarifa, wengine shughuli zetu hazihitaji mvua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said[emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TMA waongo mpaka wanajishtukia wenyewe... Hawa jamaa....wakiona tu wingu sehemu wanapigiana simu kuwa "mzee mwalubadu mvua inakuja watangazie"

Sasa wamesikia mashekhe wameomba mvua nao wamekuja na tangazo hili...hawa jamaa hawa...basi tu.
[emoji23][emoji23]
 

mkuu je kwasie wa MASAKI hii habari inatuhusu kweli🤣🤣🤣🤣
 
Ndege yetu tuliyochoronga twiga na kupaka rangi zetu, wahusika wachukue tahadhari...Milioni 7 ni nyingi...hii Mvua isilete nongwa[emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi wiki iliyopita si hawahawa walituambia kuwa mwaka huu unaukame na njaa ya kufa mtu! Sasa imekuwaje tena? Au wamemalizana na mwakasege akaifungulia mvua?
 
Ndege yetu tuliyochoronga twiga na kupaka rangi zetu, wahusika wachukue tahadhari...Milioni 7 ni nyingi...hii Mvua isilete nongwa[emoji48][emoji48]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]tulipaswa tuibandike kinyago sio kuipakaza marangi... Ona sasa ikinyewa na mvua si inaweza kugeuka aisikilimu[emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…