Teh bila shaka ni ile Academy kule Arusha ..ulikuwa enzi za Sayore nini ?Write your reply...Nikiona neno TMA mwili unasisimka sana kuna kitu nakikumbuka kilinitesa sana
Unafaaa kuwa mpiga ramli mkuuTeh bila shaka ni ile Academy kule Arusha ..ulikuwa enzi za Sayore nini ?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30]TMA waongo mpaka wanajishtukia wenyewe... Hawa jamaa....wakiona tu wingu sehemu wanapigiana simu kuwa "mzee mwalubadu mvua inakuja watangazie"
Sasa wamesikia mashekhe wameomba mvua nao wamekuja na tangazo hili...hawa jamaa hawa...basi tu.
Ngoja nihame zangu mapemaa huku mabonde kuinama kwetu,.tusije sema hatukusikia,.๐ถ๐ถ๐ถ
Ila hawa TAM hawa,..haya tuu..sio nahama halafu haiji๐
ilikutokea nn mkuuhawa jamaa mwaka 2011 walitoa utabiri wao mapema ila wajuaji ni wengi nikiwemo mimi kujifanya wanajua nini kilichotokea ilikuwa funzo kwangu mpaka leo siwezi kupuzia taarifa za mamlaka ya hali ya hewa