Tangu usiku hadi mchana huu hapa Mtwara kunanyesha mvua kubwa sana ambayo kwa watu waishio kwenye maeneo hatarishi kama mabondeni, kwenye maporomoko, mikondo ya maji na hata nyumba mbovu huenda wakapata madhara makubwa sana.
Naomba tutumie jukwaa hili kujulishana kinachoendelea kwenye eneo lens.
Naomba tutumie jukwaa hili kujulishana kinachoendelea kwenye eneo lens.